Maalim Seif asafiri kwa Boti akitokea Dar Es Salaam

Maalim Seif asafiri kwa Boti akitokea Dar Es Salaam

Siasa za bongo ni unafiki tu,

Tena nchi yenye raia vichwa panzi wengi kama Tz,wafuasi wamekuwa ndondocha.

Kuna Mayor kawa kama kichaa kutwa nzima anakimbia huku na huko na ma-jobless wa mtaani eti jogging.

Anyway,huu ni muda wao kupoteza manyumbu wasiojielewa.
 
Nchi yetu kila mtu ni msanii. Nashangaa hata fani ya usanii hatuna sifa yoyote duniani.
 
Nyuma ya pazia hamtaki muungano wakati robo tatu ya maisha yao ni dsm

Kama vile Jakaya Kikwete anavyotegeme robo 3 ya maisha nchini marekani ni kwa sababu Tanzania iliungana na Marekani.

Kama wazanzibari wanategemea robo tatu maisha yao Dar es salaam ni kwanini kwenye katiba yenu pendekezwa mipaka ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania imechanganya mipaka ya Zanzibar na maeneo yake yote ya bahari??? kwanin umeshikwa na kigugumizi kulifafanua hili kwamba Tanganyika inategemea maisha ya watu wake kupitia mgongo wa Zanzibar??
 
Nyuma ya pazia hamtaki muungano wakati robo tatu ya maisha yao ni dsm
mbona wa tz wa bara robo tatu ya maisha yao yapo china na hawajaungana na china? muda mwingine jaribuni kuficha madhaifu yenu
 
Siyo ajabu kupanda boti.kuna mwanasiasa mmoja hapa tanzania aliwahi kwenda jimboni kwake na ndege ya jeshi wananchi walipomuhoji akawajibu kwamba "mlitaka nipande punda".? Ngoja tusubiri maalim seif atatujibu nini.
 
NILIDHANI KATUMIA MTUMBWI,
MBONA JANUARI MAKAMBA ANATUMIA BASI LA KAWAIDA LA RATCO

th

RATCO Sio Basi La Kawaida Tanga Uliza Wenyeji, Labda Ungesema Bembea, Zafanana ,Tahmeed, Tashrif Au Simba Mtoto.
 
RATCO Sio Basi La Kawaida Tanga Uliza Wenyeji, Labda Ungesema Bembea, Zafanana ,Tahmeed, Tashrif Au Simba Mtoto.

nauli ya kawaisa tanga 13,000/- ila ya ratco anayopanda mwezi wa kwanza ma rope ni 18,000/-
 
Hii ni safi sana maalim seif ni kiongozi wa watu, si mpenda makuu kama walivyo viongozi wengi wa Tanzania
 
Kama vile Jakaya Kikwete anavyotegeme robo 3 ya maisha nchini marekani ni kwa sababu Tanzania iliungana na Marekani.

Kama wazanzibari wanategemea robo tatu maisha yao Dar es salaam ni kwanini kwenye katiba yenu pendekezwa mipaka ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania imechanganya mipaka ya Zanzibar na maeneo yake yote ya bahari??? kwanin umeshikwa na kigugumizi kulifafanua hili kwamba Tanganyika inategemea maisha ya watu wake kupitia mgongo wa Zanzibar??

safi sana ndugu Tanganyika haiwezi kuishi ata kutimiza mlo 1 kwa siku bila ya Zanzibar, Bara inasaidiwa sana na Zanzibar kiuchumi
 
Back
Top Bottom