Video: Maalim Seif na mapokezi ya Kifalme Kisiwani Pemba

Video: Maalim Seif na mapokezi ya Kifalme Kisiwani Pemba

5523

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2014
Posts
2,290
Reaction score
2,431
Ndugu wadau hapo June 13, 2015 wakati Maalim Seif akiandamana pamoja na wananchi kuelekea viwanja vya Tibirinzi Chake Chake Pemba kwa ajili ya Utambulisho wa kugombea Urais Octoba 2015 kwa tiket ya Chama cha wananchi CUF mapokezi yalikuwa ya Kifalme na aina yake haijawai kutokea katika historia ya visiwa vya Zanzibar.

Mod tunaomba utuachie hii kuna wengine hawajaona.

wanachama3.jpg
 
Maalim Seif akitembea kwa miguu katikati ya umati wa watu waliokuwa wakimsindikiza uwanja wa mkutano hapo katikati ya mji wa Chake chake maduka yote yalifungwa kupisha maandamano.

11428034_1009812272406081_2906549200837945035_n.jpg
 
Dah kweli ccm mara hii pini imewakaza zaidi, tusubiri miujiza tena na mara hii ccm waje watuambie wameshinda tena uchaguzi
 
No way ccm Zanzibar Otoba, nataka nikachongeshe suti na mapeemaaa
 
Back
Top Bottom