Recent content by Mrdash1

  1. M

    Kiwanja kinauzwa kwa bei ya kutupwa............

    Mkuu naona hukunielewa, siongelei thamani ya ardhi, mahala popote ardhi inapanda thamani with time, mimi hapa naongelea uwezekano wa kuishi mahala ambapo baadae utaonekana hutakiwi kuwepo, hii nchi ipo kwenye safari ya michafuko ya kidini, mukulu ameisha lianzisha, litakapo komaa wapo watu...
  2. M

    Kiwanja kinauzwa kwa bei ya kutupwa............

    sasa hivi unaweza kununua bado hali haijakuwa mbaya kama ya bokoharam, lakini kwa safari hii ambayo tumeishaianza lazima tutafika huko, na tutakapofika baadhi ya watu lazima watayakimbia baadhi ya maeneo kunusuru maisha yao, sasa kama kuna vitega uchumi mtu amewekeza au hata kajumba kake ka...
  3. M

    Kiwanja kinauzwa kwa bei ya kutupwa............

    Hii nchi inaelekea kubaya kabla ya kununua kiwanja angalia pia na itikadi za kidini zinazotawala eneo hilo, kama unakubaliana nazo basi nunua, vinginevyo baadae mtu utajikuta unalikimbia eneo, unaacha investment zako. Mimi sina tena imani na nchi hii, nigeria ingine, Afrika iko laana
  4. M

    Oganaizesheni ya mafunzo CHADEMA

    gombea nafasi yoyote ya uongozi kupitia chadema, watakuja kukupa mafunzo, uive, uwe kamanda, lakini kama wewe ni ccm basi hilo ni somo zito huwezi kulielewa
  5. M

    Mtwara: Vurugu kubwa zazuka, Mahakama, nyumba ya Waziri vimeteketezwa...

    Mlio karibu na mkulu mshaurini akatishe harakati zake za kuishangaa snow na kupiga picha na cerebrity wa ulaya, huku nyumbani kuna moto unafukuta! Mwanza (wafugaji hawaruhusiwi kujichinjia kitoweo chao), Moro (wakulima wanadai ardhi yao), Kibiti (Polisiccm wanaendeleza mauaji kwa raia), mtwara...
  6. M

    Mtikila: Kagame amepenyeza Wanyarwanda 35,000 Tanzania, Burigi, katika Wilaya ya Muleba

    Inasikitisha sana yaani, watu wanasahau ukweli kwamba kihistoria tanganyika, rwanda na burundi ziliwahi kuwa nchi moja, chini ya mamlaka moja ndani ya nchi ikiitwa German East Africa??
  7. M

    Picha na habari: Yaliyotokea kijijini Msimbati, Mtwara

    Mzee acha hasira, watu ni primitive kwa sababu ya serkali yako, hata wewe ni primitive tukikulinganisha na raia wa mataifa yaliyoendelea kama Japan, Germany nk, hako kabibi ni Tanzanian hero, Hana vifaru wala risasi kama ccm, kwa kutumia silaha pekee aliyo nayo ya itikadi za jadi ambayo wewe...
  8. M

    Udini wamtisha JK; Amtuma Wassira kusuluhisha Waislamu, Wakristo...

    Kauli thabiti hazitolewi kwa sababu hao wanaotakiwa kuzitoa hawapingani na wale waliopo kwenye mtandao unaoeneza udini, watoa kauli wamekuwa sehemu ya kampeni za kueneza udini na dhuluma dhidi ya dini pinzani.Hivi kweli mtu anavamia shule (public institution), anafanya uharibifu wa mali ya shule...
  9. M

    Mtwara: Gari la 'Afisa Usalama' lapondwa mawe Msimbati

    kubwa zima hata aibu halina, watu wanaongea mambo ya maana lenyewe linakuja na ukaskazini...... pambafu!
  10. M

    Nasisi tumo "KIDIJITALI" zaidi 2013

    uchokozi tu huo
  11. M

    Mtwara: Gari la 'Afisa Usalama' lapondwa mawe Msimbati

    muulize daktari wa meno ramadhani ing'ondu kama alitumia local remedies kumteka uli
  12. M

    Pinda ataka Rais apunguziwe Madaraka

    Watu wanafiki tu, ukweli uko wazi na suala si madaraka makubwa ya uraisi bali udhaifu na ubaguzi wa kidini wa huyu tulienae, awamu zilizo tangulia mbona maraisi walikuwa na madaraka haya haya na hayakuonekana makubwa? Ulofa wa huyu aliyopo usitusukume kuifulumusha taasisi ya uraisi, tunaweza...
  13. M

    VIDEO: Ofisa wa TRA Arusha akichukua rushwa waziwazi!

    hapo mangi ametupa somo la namna ya kuchangamkia pesa
  14. M

    Eneo la soko linauzwa!

    Twambie Hadisi hii kakufundisha nani?
Back
Top Bottom