Kiwanja kinauzwa kwa bei ya kutupwa............

KAMA NAPIGA

Member
Joined
Jan 25, 2013
Posts
10
Reaction score
0
KIPO KIPALANG'ANDA KWA RUBAHA(MKURANGA) BEI NI MILLONI MOJA (1) UNAWEZA UKALIPA NUSU NA NUSU UKAMALIZIA ILA KWa maelewano MAALUM.

UKUBWA NI ROBO EKARI NI 25 KWA 25.

KIPO KARIBU NA BARABARA......

Cont;0712 85 66 82
 
Mimi ninahitaji eneo lenye ukubwa wa ekari 5 lililopo karibu na barabara (yaani ukitoka barabarani mita 30 unaingia shambani)
Liwe tambarare na lisiwe na mipaka ya kona kona za ajabu kama ramani ya mkoa wa Pwani
Liwe eneo lolote njia ya Kilwa (toka Mwandege hadi Mkuranga).

Mwenye eneo la namna hiyo ani-PM na ataje eneo lilipo, vitu vivyomo, mmiliki, umiliki wake kama ni wa kifamilia nk
 
Hii nchi inaelekea kubaya kabla ya kununua kiwanja angalia pia na itikadi za kidini zinazotawala eneo hilo, kama unakubaliana nazo basi nunua, vinginevyo baadae mtu utajikuta unalikimbia eneo, unaacha investment zako. Mimi sina tena imani na nchi hii, nigeria ingine, Afrika iko laana
 
Hahaha ushauri wangu Caveat Emptor- Buyer be aware!
 
Hii nchi inaelekea kubaya kabla ya kununua kiwanja angalia pia na itikadi za kidini zinazotawala eneo hilo, kama unakubaliana nazo basi nunua, vinginevyo baadae mtu utajikuta unalikimbia eneo, unaacha investment zako. Mimi sina tena imani na nchi hii, nigeria ingine, Afrika iko laana

Usiogope mambo hayo ndugu.
Kuna eneo linaitwa JARIBU kuna kipindi maeneo yalikuwa yanauzwa kwa bei ya kutupa, nikawauliza wenyeji wa Pwani (Vikindu) hilo jina lina maana gani (asili yake ni nini), wakaniambia kule kuna wachawi na nd'o maana maeneo yanauzwa kwa bei ndogo (wateja wanaogopa) nd'o maana panaitwa "JARIBU". Nikawaambia NINYI HAMJUI, HUKO ND'O PAKUNUNUA KIPINDI HIKI, SIKU WATU WAKISTUKA UNAKUTA UNA MAENEO MAKUBWA YA MAANA TU! Sasa kwa sasa sijui pakoje bei zake?
 
Mimi ninahitaji eneo lenye ukubwa wa ekari 5 lililopo karibu na barabara (yaani ukitoka barabarani mita 30 unaingia shambani)
Liwe tambarare na lisiwe na mipaka ya kona kona za ajabu kama ramani ya mkoa wa Pwani
Liwe eneo lolote njia ya Kilwa (toka Mwandege hadi Mkuranga).

Mwenye eneo la namna hi yo ani-PM na ataje eneo lilipo, vitu vivyomo, mmiliki, umiliki wake kama ni wa kifamilia nk

piga hyo kaka 0712856682 ntakusaidia kupata mimi ni kwetu kule sehemu zipo
 
Usiogope mambo hayo ndugu.
Kuna eneo linaitwa JARIBU kuna kipindi maeneo yalikuwa yanauzwa kwa bei ya kutupa, nikawauliza wenyeji wa Pwani (Vikindu) hilo jina lina maana gani (asili yake ni nini), wakaniambia kule kuna wachawi na nd'o maana maeneo yanauzwa kwa bei ndogo (wateja wanaogopa) nd'o maana panaitwa "JARIBU". Nikawaambia NINYI HAMJUI, HUKO ND'O PAKUNUNUA KIPINDI HIKI, SIKU WATU WAKISTUKA UNAKUTA UNA MAENEO MAKUBWA YA MAANA TU! Sasa kwa sasa sijui pakoje bei zake?
Udini hakuna kustuka. Mashambulizi mpaka upande mmoja mkimbie
 
ukiuziwa eneo bagamoyo karibu na pwani utaacha kununua kisa DINI??//acheni hizo jamani
 
sasa hivi unaweza kununua bado hali haijakuwa mbaya kama ya bokoharam, lakini kwa safari hii ambayo tumeishaianza lazima tutafika huko, na tutakapofika baadhi ya watu lazima watayakimbia baadhi ya maeneo kunusuru maisha yao, sasa kama kuna vitega uchumi mtu amewekeza au hata kajumba kake ka kuishi na akalazimika kukakimbia si itakuwa hasara kubwa tena itakuwa pengine ameisha zeeka hana tena nguvu za kutafuta, maana itakuwa kuchagua kati ya uhai, mali au kujiunga nao, wale wabishi kama mimi nawashauri wawe makini wanapochagua maeneo ya kununua hivi sasa
 
Usiogope mambo hayo ndugu.
Kuna eneo linaitwa JARIBU kuna kipindi maeneo yalikuwa yanauzwa kwa bei ya kutupa, nikawauliza wenyeji wa Pwani (Vikindu) hilo jina lina maana gani (asili yake ni nini), wakaniambia kule kuna wachawi na nd'o maana maeneo yanauzwa kwa bei ndogo (wateja wanaogopa) nd'o maana panaitwa "JARIBU". Nikawaambia NINYI HAMJUI, HUKO ND'O PAKUNUNUA KIPINDI HIKI, SIKU WATU WAKISTUKA UNAKUTA UNA MAENEO MAKUBWA YA MAANA TU! Sasa kwa sasa sijui pakoje bei zake?

Mkuu naona hukunielewa, siongelei thamani ya ardhi, mahala popote ardhi inapanda thamani with time, mimi hapa naongelea uwezekano wa kuishi mahala ambapo baadae utaonekana hutakiwi kuwepo, hii nchi ipo kwenye safari ya michafuko ya kidini, mukulu ameisha lianzisha, litakapo komaa wapo watu watalazimika kuhama maeneo ambayo yatakuwa machungu (hostile) kwao, ndo maana nashauri kabla ya kununua fikiria future (hizo siku zijazo)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom