Recent content by Mr_og

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mtindo wa Mavazi kwa Wageni Rasmi wa Ikulu ya Tanzania

    Ikulu ni sehemu ya Hata, na hao waliokwenda Ikulu ni Watanzania hakuna shida hapo,hata wwe kama una issue serious inakutatiza wwe ilete kwa Mama na itatutiliwa bila shida!!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania kujigharamia uchaguzi yenyewe

    Pesa za wafadhili ni za kitapeli kwa kisingizio cha misaada!!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania kujigharamia uchaguzi yenyewe

    Tunacheza au hatuchezi!!?? Kwanza jibu hapa!!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Bosi wangu anamla mke wa mjomba wangu live!

    Basi omba na wwe upewe kama ushaiona mara nyingi!!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume na wazazi wenye watoto wa kiume, hii imeshawahi kuwatokea?

    Unajua watoto huwa wanaangalia sana jinsi nyinyi wazazi mnavyo ishi, mkiwa mnaheshimiana wanajua,na mkiwa mnazarauriana pia wanajua, na pia wanajua kati ya baba na mama nani ni final say wanajua, na siku zote watamuheshimu sana yule mwenye final say!!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume na wazazi wenye watoto wa kiume, hii imeshawahi kuwatokea?

    Ndiyo uache usiri au kumsema vibaya Mume wako ukiwa na wanao, wwe ukionyesha kumuheshimu Mumewo na watoto nao watamuheshimu baba yao,lakini ukimzarau Mumeo,na watoto nao hawatamuheshimu! Mara nyingi nyinyi wa mama ndiyo mnaharibugi watoto mkizani ndiyo mnawapenda!!
  7. M

    JamiiForums Tanzania Baba Askofu Gwajima kama huyu ni PONJORO, Je Pascally Mayalla utamwitaje Baba? Mbatize Ukubwani tutapokea Jina jipya!

    Kwa hiyo Bashe nae ni Ponjoro au Gabachori!!?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Shahidi wa mwajiri agoma kutokea kwenye hearing

    Kwani office yenu inafanya biashara ya Mahusiano humo hadi muitane vikao vya kipuuzi!!??
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto: Majirani zetu kutoka Tanzania, kama tumewakosea kwa namna yoyote ile, Mtusamehe

    Rudi kasome Heading, alafu uje tena Jamvini!!
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge Msambatavangu: Gen Z wa Kenya wameni chattisha whatsApp Usiku kucha

    GenZ wa Kenya wamtowe Ruto kwanza, alafu wamrudishe Gwashagh kua Rais wa Kenya hapo ndiyo ntaaona wao kweli wanaamanisha na wako serious, Tanzania watuachie Watanzania tutayajenga na wala hatujitaji msaada wa jirani yoyote yule!!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge Msambatavangu: Gen Z wa Kenya wameni chattisha whatsApp Usiku kucha

    Gen z wa Kenya hawana Jeuri mbele ya GenZ watanzania wakiamua! Tatizo lako wwe huwajui Wabongo wa Tz!!
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto: Majirani zetu kutoka Tanzania, kama tumewakosea kwa namna yoyote ile, Mtusamehe

    Si walikua wanaimba Ruto must goo, mbona hadi leo Ruto bado yulo kwa power!!
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto: Majirani zetu kutoka Tanzania, kama tumewakosea kwa namna yoyote ile, Mtusamehe

    Sasa Gen Z wa Kenya wamemshindwa Ruto ndiyo watamuweza Samia wa Tanzania!? Lazima hao Gen z watakua wamechanganyikiwa na kibano cha Ruto!!
  14. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna pa kukimbilia, hakuna pa kujificha!

    Tatizo lenu hamjui kupiga kura,ndiyo maana kura zenu zinaharibika kwenye box la kura!!
  15. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna pa kukimbilia, hakuna pa kujificha!

    Mbona Trump anachorwaa!!.?
Back
Top Bottom