Bosi wangu anamla mke wa mjomba wangu live!

Huyo shangazi yako nae hajielewi unaachaje mwanaume akupige picha za uchi!? Ndo unampenda sana au
 
Mimi nimeajiriwa kwenye kampuni moja huku Mwanza. Sasa bosi wangu huwa anakuja na mademu wengi wengi tu hapa ofisini. Sasa siku hizi anamgegeda mke wa mjomba wangu, kila siku mke wa mjomba anapokuja mimi najificha kama sikuwepo na hajui kama mimi najua jambo analofanya na bosi wangu. Wakifanyana wanapigana picha za uchi na baadae bosi ananionesha tu.

Sasa je nimkataze mke wa anko aache hiyo tabia au nilinde kazi yangu?
Hebu njoo maeneo ya keepleft ya samaki pale kesho tushauliane..ikiwezekana tukalieleze limjomba letu
 
Kwanza mpaka hapo huyo Boss wako sio Rijali wakisawasawa,mwanamme kweli haongelei ujinga kama huo,na huyo Mke wa mjomba yako nae sie vile vile sijui wa karne gani anapigwa picha ametulia wakati anajua ana mume au sorry to say this au Mjomba hatimizi majukumu yake? ebu chukua mda ufikirie kidogo mjomba amekosea wapi halafu uchukue hatua....
 
Kama mnaoneshana hadi picha za uchi na boss wako basi hamna ofisi hapo. Kaa kimya kulinda ushkaji na boss.
"Kweli ushkaji mgumu"

Sent from my C1605 using JamiiForums mobile app
 
Aliyelima shamba la zabibu zilizowiva vizuri barabarani na mwenye mke mrembo sana wote wana tatizo sawa.

Sent from my TECNO-L8Plus using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom