Aisee hiki kipande kilikuwa hovyo kilikuwa na mashimo balaa, ila nimepita jana nimekuta wameziba viraka ila bado kuna mawimbi ya hatari ambayo huwezi kutembea 80KHP,utakutwa ICU,
Ila kuna kipande cha kutoka Lusahunga kwenda Rusumo ni kichefuchefu ukiwa na gari ndogo au kubwa hakuna mwenye nafuu,
Nakuuliza hivi coz unaweza kuwa na mizunguko mingi inayohitaji multipurpose cars mfano kutembea nje ya kwenye barabara za fumbi km Kolomije,Serengeti np n,k
Duuu,hapo napo ni ajabu sana kwani muundo wa risasi ulivo unahitaji stages kadhaa ili kuripuka hii ni pamoja na baruti, utambi,hewa hivi vinakuwa ndani ya kasha ambalo limefunikwa katika kitako na juu kufunikwa ni chuma kizito ambacho ndo halisi baada ya mlipuko utoka na kwenda kuleta madhara...
Hapa kazi kwelikweli;Mimi kweli ni Mlutheri wa kuzaliwa na kuishi mpk sasa japo suala la ukristo ni pana sana kiongozi mfano utaratibu wa kunena kwa lugha zamani hatukuwa nao but sasa watu wananena kwa lugha na kulia ktk kipindi cha kusifu (japo mimi sijajaliwa kunena wala kulia sijui nakwama...
Thanks bro,nina jirani yangu hapa Mwanza alilima miti mingi kama hekali 5 hivi,tuseme ana msitu tena katikati ya makazi ya watu,
Nataka niingie ubia nae niweke kilimo cha nyuki sasa sijui kitapata tija kwa maeneo ya hapa mwanza au najichanganya?
Naomba msaada wa ushauri wako na wa wadai make...
Hahaha bro tuko wote muda huu?????nipo nasikiliza wimbo wa Awilo longomba akiwa na Luciana group (.....Awilo longomba kwachkwachkwach......)konyag ndo zimeisha na sina cha kunywa
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.