Recent content by Mr the dragon

  1. Mr the dragon

    JamiiForums Tanzania Yako wapi majarida ya Shujaaz na Femina?

    Mkuu unamfahamu dada Bahati? Simfahamu personally zaidi ya kumsoma kwenye hayo majarida, na kumuona mara kadhaa kwenye tv. Alionekana ni mtu smart sana!
  2. Mr the dragon

    JamiiForums Tanzania Nimemfumania mchumba wangu je nimsamehe niendelee na mipango ya ndoa?

    Huna akili Demu hujawahi kula mbususu unasema mko kwenye mahusiano? Hayo mahusiano mnahusiana nini? Demu akikunyima mbususu jua hakupendi, kakuona fala kakugeuza kuwa option. Kuna mchizi anamlilia aje aichape atakavyo! Demu hujamla miezi saba na unahudumia?
  3. Mr the dragon

    JamiiForums Tanzania Nikilitafakari taifa la Palestine, najiuliza maswali mengi sana kuhusu Mungu na uweza wake. Je ni Mungu mwenye chuki au ni Mungu wa upendo?

    Mungu kaumba watu wote, halafu eti akateua taifa fulani kuwa teule! Inahitaji ujinga wa kiwango cha sgr kuamini ujinga wa ngano za wazungu na wayahudi!
  4. Mr the dragon

    JamiiForums Tanzania Maoni na mapendekezo yangu kwa NHIF

    Yes! Mtu awe na haki ya kumuweka mtu yeyote anayemtaka
  5. Mr the dragon

    JamiiForums Tanzania Kifo cha utata cha mwanafunzi wa KIUT akipambana kusomea udaktari

    Unasomesha binti yako hadi chuo kikuu ukitegemea, atumie elimu yake kujenga maisha yake, aolewe, ajenge familia upate wajukuu wakuite babu! Halafu Bishoo mmoja waliyekutana chuo, hajamuoa wala hamujui anapotokea wamekutana tu kwa bahati mbaya anakatisha uhai wake. Hiyo haki anaitoa wapi...
  6. Mr the dragon

    JamiiForums Tanzania Kwa connection ile ya Harmonize mvua za El Nino zikija tutapona kweli?

    Naomba uJibu swali la Mariposa. Ni mchi au kibamia?
  7. Mr the dragon

    JamiiForums Tanzania Mwanamke alie uwawa kwa risasi amekaa na house girl kwa miaka 8. Ni ishara kwamba she was a good woman.Tanzanians are very poor judges of character

    Hii story kila mtu anaiparamia tu, lakini huwezi kuhukumu bila kusikia story ya pande zote mbili.
  8. Mr the dragon

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    Kwani usiku wa manane tayari? Usiku wa manane ni saa nane na tisa usiku!
  9. Mr the dragon

    JamiiForums Tanzania The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    114 charges FC Tukisema nyinyi sio clubs with history and culture mtuelewe
  10. Mr the dragon

    JamiiForums Tanzania Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

    Hivi hao mashoga mnakutana nao wapi hapa dar? Sisi wengine mbona hatuwaoni zaidi ya mitandaoni.
  11. Mr the dragon

    JamiiForums Tanzania Kuhusu sakata la jezi za Taifa Stars zilizotengenezwa na Sandaland, Je Waziri na Naibu Waziri zinaiva kweli?

    Kwa hiyo Makonda na huyo jamaa yako ndio wanawakilisha wasukuma wa mwanza wote? Acha usenge
  12. Mr the dragon

    JamiiForums Tanzania Kwanini wakatoliki hawana kipengele cha kuombea waumini wenye shida mbalimbali kama kufungua milango ya ridhiki, magonjwa, majini, uchawi?

    Nimewahi kuona movie za Exorcism zikihusisha wakatoliki! mfano The pop's Exorcist ya mwaka 2023
  13. Mr the dragon

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa Sea ulioimbwa na Babu Sea Ulimlenga nani?

    Kwani jamaa kweli alipiga?
  14. Mr the dragon

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa Pwani wana staili moja tu ya kucheza ?

    Mambo yao waachie wenyewe... Cc @smart9
  15. Mr the dragon

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa Pwani wana staili moja tu ya kucheza ?

    Mambo yao waachie wenyewe... Cc Smart911
Back
Top Bottom