Recent content by mr.sylvestre

  1. M

    Kwa nini wanajeshi wengi huwa wanasaidia sana ndugu zao kuliko polisi?

    Si kweli,wanaenda sana kozi,hata mimi zamani nilijua huwa hawaendi kozi tena baada ya kozi ya awali, Kusaidia ni roho ya mtu na si askari jeshi au polisi
  2. M

    Nilishindwa kuendelea kuwa nae sababu ya vitu alivyonavyo kichwani

    Huyo ana majini,atakusumbua sana usiposimama katika imani, Achana naye kabisa mbeleni utalia huwa wana kiburi na roho za hasira kiufupi ni pasua kichwa
  3. M

    Tunapotoa misamaha huwa hatutoi kwa fulani na fulani, linaangaliwa kundi!

    Mjadala utakuw mrefu lakini Ndo imetoka hiyo, Mtasahau tena kujadili masuala muhimu yenye usitawi Mtatoka kwenye direction yenu nakuanza kuhangaika na mjadala huu mpya Mwishowe mtakuja kumbuka shuka kumekucha kwa kuendekeza siasa za matukio
  4. M

    Kutokwa na hedhi mara mbili kwa mwezi kuna sababishwa na nini?

    Maombi pia Ni muhimu,maana zipo pia kesi za namna hiyo zimetatuliwa kwa maombi hususan kama Kuna vihatarishi vya nguvu za giza
  5. M

    Meseji ya mke wangu kwa mama yake inamtuhumu mama yangu kuwa ni mchawi

    Pepo wa mafarakano anawanyemelea,Kuwa makini, omba kwa bidii kuna vitu utaviona,Trust Jesus
  6. M

    Kitendo cha Kanisa kufungisha ndoa ya Joti huku akiwa amenyoa mtindo wa kihuni ni sahihi?

    Msihukumu msije mkahukumiwa Waabuduo halisi ni wale watamwabudu Bwana katika roho na kweli
  7. M

    niende tra au nifanyaje wakuu?

    Baki wachina utapata exposure ya kutosha ila kufanya kazi serikalini kuna shida sana Mara nyingi unakuwa hauna Uhuru Muda mwingi unafanya kazi za serikali halafu baki kwa wachina tengeneza maisha.
  8. M

    Ushauri; Mkasa mfupi kuhusu familia yangu

    Omba Mungu Sana tafuta viongozi wa kiroho wenye nguvu utasaidika,Mimi nilipata changamoto ya nguvu za Giza ilinisumbua sana ila nilipoamua kuacha kutumia akili zangu mwenyewe na kumfuata Yesu mambo mengi sana yalibadirika na Amani ilirejea.Hallelujah
  9. M

    Kwa wakazi wa Arusha muda huu nasikia milio ya risasi mitaa ya Unga

    Haya majibizano bila shaka Ni kati ya polisi na wasiojulikana
  10. M

    Huyu mke wa mtu ananitafutia matatizo!

    Mweleze ukweli,be serious
Back
Top Bottom