niende tra au nifanyaje wakuu?

Status
Not open for further replies.
TRA kufukuzwa nje nje,kuna jamaa yetu alikuwa tra mtukula alifukuzwa kazi kwa fitna akafungua kesi sijui iliishia wapi ila akapata kazi Aghakan Mtwara.Siku hizi sijui yuko wapi
Mi nahisi huko TRA pia kuna mazingira/vishawishi vya rushwa rushwa hivi nk. hivyo usipojua majukumu na maadili ya kazi yako lazima yakupate hayo na hata huyo aliyefukuzwa huenda kuna vitu alizingua , hivyo uaminifu ni muhimu ili kudumu kene chombo mkuu
 
Kamanda huko private co. wengi wamepitia hhao hawana shukrani one mistake one goal still access ya kugrow ni ndogo sana hakuna siku watakwambia chukua likizo kasome zaidi, na kuna siku isiyo na jina wataondoka tu hao ,umesema bado huna majukumu sana na ajira za serikali ukishapangua ndiyo hurudi tena kirahisi, tra siyo sehemu mbaya mshahara wa gross 950,000 na hizo benefit zingine, bado unastahili zaidi ni mda mchache tu utavipata,nakishauri kaanze upya na TRA
 
Nimeandika zaidi ya mara tano nimefuta.

kifupi "nenda TRA Mkuu" yote unayoweza kufanya ukiwa kwa Wachina unaweza fanya ukiwa TRA pia.
 
Huyu nae ni miongoni mwa waliopata kazi TRA????????

Kumbe kweli kupita kwenye ile interview ilikuwa ni zari tu na sio vinginevyo.
 
Baki wachina utapata exposure ya kutosha ila kufanya kazi serikalini kuna shida sana Mara nyingi unakuwa hauna Uhuru Muda mwingi unafanya kazi za serikali halafu baki kwa wachina tengeneza maisha.
 
Baki wachina utapata exposure ya kutosha ila kufanya kazi serikalini kuna shida sana Mara nyingi unakuwa hauna Uhuru Muda mwingi unafanya kazi za serikali halafu baki kwa wachina tengeneza maisha.
thanx bro..nimejikuta naipenda sana kazi ya sales ingawa haikuwahi kuwa ndoto yangu
 
Nenda tra, kwakua unajua jnsi ya kuagza na unawateja tayar wa spea. Fungua duka lako la spea, weka mti akuuzie.
 
VETTING

investigate (someone) thoroughly, especially in order to ensure that they are suitable for a job requiring secrecy, loyalty, or trustworthiness.
"each applicant will be vetted by police"
police hawa wa Tanzania wenye kupokea rushwa na wasiojua kusoma wala kuandika wana uwezo wa kumfanyia mtu vetting mkuu,au unazungumzia police wa huko duniani?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom