Recent content by Mr Suggestion

  1. Mr Suggestion

    Mafuriko Msimbazi Dar: Mwarobaini watua Ofisi ya Rais

    Research ya mwaka wa tatu CASS
  2. Mr Suggestion

    Zitto Kabwe asoma kitabu kimoja na kukimaliza kila wiki 2016

    Mimi nikadhani nitaona kitabu kilichoandikwa na Makonkey, maana huwa anaongea ongea sana masuala ya energy
  3. Mr Suggestion

    Rais mstaafu Dr. Jakaya Kikwete akiwa na wauza vitunguu

    Hivi ile Dr yake bado inatumika mpaka sasa???
  4. Mr Suggestion

    Tundu Lissu: Hali ya nchi kiuchumi inazidi kuwa mbaya zaidi, viwanda vinafungwa

    Mafisadi na wezi wa nchi hii wangeinvest kwenye soko la ndani na kuachana na tabia yao ya kuficha fedha nje ya nchi haya yote yasingekuwepo kwa sasa, benki zisingefirisika na wala watu wasingepunguzwa makazini,
  5. Mr Suggestion

    Prof. Ndalichako awatupia lawama Bodi ya Mikopo kufanya kazi kwa mazoea, arejesha posho ya 8,500

    Mimi namuunga mkono Prof, japo sifahamu mtendaji mkuu wa bodi ya mikopo ana report kwa nani, Raisi au Dr Ndalichako au kwa Eng Manyanya, hakuna IT manager wa hovyo na asiyeijua kazi yake kama huyu IT Manager wa bodi, maana sisi tunaorudisha mikopo ndio tunajua kadhia yake, hafai kabisa na hata...
  6. Mr Suggestion

    Taarifa kwa uma kutoka serikali ya wanafunzi UDSM

    Taarifa nzuri sana tofauti na wale jamaa zenu wa TAHLISO, wengi wao ni vijana wa UV....M
  7. Mr Suggestion

    TAHLISO: Taarifa kwa wanafunzi wa elimu ya juu

    Aiseeeee, Tahliso!! Hiyo ndio taarifa kwa Umma!! Kweli mwenyekiti mnae na sijui mlimchagua vipi? Huyu amebaliki continuing students warudishe makwao how sure kwamba uhakiki wa mwanzo ulikuwa unamapungufu?? How sure kwamba uhakiki wa sasa tena wa wiki mbili utakuwa sahihi?? Bora mie nilisoma enzi...
  8. Mr Suggestion

    Majibu ya Waziri Mwigulu Nchemba kuhusu tuhuma za kughushi vyeti vya taaluma, kuiba jina

    Mimi ameniacha kwenye sintofahamu aliposema alipewa jina madelu maana yake ndevu nyingi, ngoja nimwamini maana ananiaminisha aliporudia shule akitokea kwenye kazi ya kuchunga ng'ombe tayari alikuwa anandevu nyingi za kumfanya aitwe madelu, ngoja nika update biology yangu kisha nitarudi kuchangia
  9. Mr Suggestion

    Majibu ya Waziri Mwigulu Nchemba kuhusu tuhuma za kughushi vyeti vya taaluma, kuiba jina

    Binafsi sijamwelewa kabisa msomi wetu wa uchumi, nikiwa free nitasoma tena labda nitaweza kumwelewa
  10. Mr Suggestion

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Huu mchezo ukitaka uufaidi wewe ndio uwe mwenye kampuni, zaidi ya hivyo labda uwe una bet kistaalabu
  11. Mr Suggestion

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Katika vitu ambavyo Sir God kanisaidia season hii ni kuniwezesha kuhama sehemu ambayo ina machine/ofisi za betting, hii imeniwezesha kuupuuza mchezo huu ambao kiasi kikubwa nilikuwa naliwa zaidi ya ninavyomla mimi
  12. Mr Suggestion

    House4Rent Nyumba inapangishwa Makongo Juu, Dsm

    Itakuchukuwa mwaka mzima kupata mteja, Makongo juu, chumba kimoja, bei laki tano!!! Unless uwe unamaanisha 50,000/= watu hata kukupigia simu hawatotaka,
  13. Mr Suggestion

    Serikali iwape onyo bodi ya wahandisi, kwanini wanashindwa kuunda hata baiskeli tu?

    Effect ya free market, ukisema ma Engineer hawawezi kutengeneza hata baisikeri unakuwa unatuonea, kwanza ili utengeneze baisikeli lazima uwe na uhakika wa soko, ila kama ya maonyesho hapo hakuna tatizo, pili sio wahandisi wote waliopo Tanzania ni Mechanical Engineer, majengo yote unayoyaona...
Back
Top Bottom