Shirikisho la vyuo vikuu wamesema mkataba wa continous na heslb upo kama awali...means tested ni kwa freshers.Mi sijaelwa naona dogo kanipgia simu anapaniki pliz nielewesheni ktika hili...yeye anaingia second year na alkua na 0 percent so akawa anapta boom tu halpwi tuitn fees so mins ata boom hatopta tena??au apa imekuajem au ndo kama alivosema kule juu kwamba hili swala haliwahusu wanaondela but only wanaoanza frst year na watakoendelea kuja??help mi in this guyz
Tatizo ngosha alishatishia kuwatimua watu mpaka 2019Kama udsm msipo komaa msitegemeee vyuo vingine kupiga kelele juu ya hayo ...
.
Nakumbuka enzi zile revosquare hapo inanukia
Tena kwa maisha ya darDah!nimejikuta nawahurumia wanafunz wa udsm,asa mtu unapewa 19000 kwa miez miwili ili ufanyie nin?naelewa maisha ya hapo yalivyo magumu asee.
Iko sahihi mkuu wala haijakosewa.Nimeona tution fee sh25000 au ni typing error?
Hata shule ya kata husomi kwa chenji hiyoKweli serikali inaongozwa na watu wasio na .... 25000 ni ada ya chuo?
Na ndio anachokingoja hicho.. Ili atimue watu yani roho yake itafurahi sanaTatizo ngosha alishatishia kuwatimua watu mpaka 2019
Tanks ngoja nikampe dogo gud news alikua amepanic sana tuShirikisho la vyuo vikuu wamesema mkataba wa continous na heslb upo kama awali...means tested ni kwa freshers.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kabisa mkuu ..maana watatuchanganya tushindwe tunalipaje ...maana nachojua malipo ya kwanza ni 724,000 staki kujua kuna mini ndani yake [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Yetu msiiiguse kabisa, mtatuharibia mahesabu ya kulipa madeni..
Wengine hesabu ilikimbia..acha tuendelee na u taratibu wa mkwere
Nadhani hili linatuhusu sisi wakongoman lakn hao wanaoendelea wenye nchi yao watanzania haliwahusuMi sijaelwa naona dogo kanipgia simu anapaniki pliz nielewesheni ktika hili...yeye anaingia second year na alkua na 0 percent so akawa anapta boom tu halpwi tuitn fees so mins ata boom hatopta tena??au apa imekuajem au ndo kama alivosema kule juu kwamba hili swala haliwahusu wanaondela but only wanaoanza frst year na watakoendelea kuja??help mi in this guyz