Recent content by mr. smith

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hashim a.k.a Dogo yupo wapi?

    kalapina mkali ila hatii maguu kwa hashim dogo,ni wangu mtazamo tu
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania 2030: Wimbo mpya ya Roma Mkatoliki

    unapenda njia mkato,tafuta album nzima kusupport hip hop tz,acha u-ruge wewe!
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hashim "dogo" v/s salu T

    Hawa ni baadhi ya waasisi wa muziki wa hip hop tanzania na wanaokubalika na kuheshimika hasa katika uandishi wa mistari ya hip hop.ni nani anastahili kuwa mkali wa uandishi dhidi ya wenzake,heshima kwenu wakuu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wakuu wa shule na walimu kuhamishwa vituo vya kazi

    hakuna sehemu niliyosema mi mwalimu
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wakuu wa shule na walimu kuhamishwa vituo vya kazi

    mkuu mwamgunda,wewe ndio hujanielewa,thread yangu imeletwa kama tetesi na ndio maana nikasema mwenye taarifa za uhakika tafadhali atufahamishe.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa digital waitesa clouds tv yashindwa kujiunga,By-TCRA

    Wafu fm wamezoea miteremko,naomba sugu awachane ndani ya bunge hili la february,aibu yao wenyewe!
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wakuu wa shule na walimu kuhamishwa vituo vya kazi

    Heshima mbele wakuu JF, kuna tetesi kwamba baadhi ya wakuu wa shule na walimu kuhamishwa,tafadhali mwenye taarifa rasmi atufahamishe. Nawasilisha
  8. M

    JamiiForums Tanzania 2013 CCM itakuwa na mgawanyiko

    hakika anguko kuu la C.C.M linakuja,kuanzia 2015 magamba watalia na kusaga meno
Back
Top Bottom