Recent content by Mr RMJ

  1. Mr RMJ

    JamiiForums Tanzania Lissu atafungwa kutokana na maneno yake, hata kama hakuwa na nia hiyo. Yalitokea kwenye uchaguzi ni rahisi kumhusisha nayo

    Uchaguzi kazuiaje na watu million 32 walipiga kura. Huku mama akishinda kwa kishindo.
  2. Mr RMJ

    JamiiForums Tanzania Ndugu wa LISSU, akiri , kumbe LEMA na MBOWE ndio walikua wanamtembelea LISSU Usiku kumshawishi akubali MARIDHIANO!!.

    Garage haifiki 500m. Na unasema magari makali. Magari Makali ni ya Abdul ameir hafidh, Kombo, mwinjuma, makonda na wengineo Hawa wanamiliki Bentleys, RRs, LC 300s kimahesabu gari moja linazidi thamani magari yote ya Heche.
  3. Mr RMJ

    JamiiForums Tanzania Leo tarehe 14 September, Shahidi John Heche ameshafika tayari mahakamani

    Akifanyiwa cross examination mwenyekiti wa chama cha mapinduzi tutagundua nini mkuu
  4. Mr RMJ

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu: Brenda Rupia amaliza kutoa ushahidi, Heche kupokea kijiti

    Huyu genius ndiye niliyekuwa namgoja. 🍿🍿
  5. Mr RMJ

    JamiiForums Tanzania Nchimbi is not a cadaverous fish drifting pro forma with every current. He is piscis vivus

    Tayari 🔥 Hii hapa kwa Kiswahili, nikiweka mvuto ule ule: --- Mtazameni Emmanuel Nchimbi, Makamu wa Rais ambaye alinyang'anywa uanachama wake wa chama na kufukuzwa katika ofisi yake ya heshima kubwa kwa sababu ya: 1. Kutetea umma, raia waliotekwa nyara kinyume cha sheria na vyombo vya dola...
  6. Mr RMJ

    JamiiForums Tanzania Nchimbi is not a cadaverous fish drifting pro forma with every current. He is piscis vivus

    This some complex English
  7. Mr RMJ

    JamiiForums Tanzania Kuna uhakika kiasi gani kwamba ni kweli Nchimbi mwenyewe amejiuzulu siasa?

    Niliwaza kitu kama hiki pia. Tujipe muda kila kitu kitakuwa wazi. Hawa magaidi waliojificha kwenye uanachama wa ccm sugu madarakani muda wao umesalia mdogo sana kuendelea na uovu nchini.
  8. Mr RMJ

    JamiiForums Tanzania Stress za kukosa uteuzi zina haribu ubongo wa Pro. Tibaijuka

    Nitajie mwana cm anayepigania agenda kwa akili na siyo mihemko usinitajie makonda au Samia hao ni wenye uwezo mdogo sana wa kufikiri
  9. Mr RMJ

    JamiiForums Tanzania Sheba Igangu anataka Balozi Mkubwa aliwe kichwa kama yule mdogo, wanamlazimisha atume ujumbe kule kuwa aliwaingiza chaka!

    Hapa Malawi ili ujoin chama tawala kigezo uwe tayari unaskendo mbovumbovu, uwe mbadhirifu uwe mweupe kichwani ila mpiga domo na utapewa nafasi za juu Hapa
  10. Mr RMJ

    JamiiForums Tanzania Ungepata nafasi ya kurudi chuo ungesoma nini na kwanini? Unawashauri nini vijana wanaoingia chuo mwaka huu?

    Ningesoma geology. Ni kozi ambayo ingenipa fursa zaidi kwa hiki nachojishugulisha nacho kwa sasa. I was fool kuamua kusoma ile kozi
  11. Mr RMJ

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Pukutiko linaendelea...

    🍿 🍿
Back
Top Bottom