Recent content by mr red

  1. M

    Je, ni kweli kuwa walioathirika na virusi vya Corona kuchomwa sindano ya sumu?

    Dawa ya Corona ni kwa China kutubu kwa Allah na kuacha kuchoma moto Quran ya Allah. Pia iache kuwahujumu na kuwakandamiza Waislamu pamoja na Uislamu wenyewe. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    Ninajihisi mjamzito, lakini sikumbuki ni wa nani

    Kwa vile ww ss ni mjepuka mahiri, isue ya mimba ni ya nani ni 'cha mtoto tu' kwani mtoto akizaliwa unaweza kufanya DNA test na akajulikana baba yake. Ila mega issue ni ww kuambikizwa ukimwi, nakushauri baada ya miezi mitatu ukapime ili ujitambue. Na kuanzia ss usitembee tena na mwanaume yeyote...
  3. M

    Amerudi alfajiri akivuja manii

    Huyo kaka solution ni kuachana tu na huyo msichana kwani ni changudoa tu ambae huo mchezo ameuzoea tena bila condom, hapo VVU njenje - huyo ni muuaji tu. Aachane nae tu.
  4. M

    Mi natoa ONYO: Kuna Member wa Humu JF ana mahusiano na mchumba wangu. Tusije Kulaumiana Bure

    Ushauri wangu huyo jamaa muhuni aache kabisa mchezo huo wa kuvuruga ndoa za watu wengine. Mchezo wa kujifanya ni kijoo cha mtaa sio jambo zuri na zaidi ni kwamba mbona kuna akina dada wengine wengi tuu ambao wako free, kwanini asi deal na hao? Ndugu yangu Chizi Maarifa kwanza pole sana na...
  5. M

    Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu ajivua Ubunge; ajitoa CCM na kuomba kujiunga CHADEMA

    Huyu anatoroka CCM kwa vile anajua kuwa iko siku atakumbwa na fagio la chuma linaloendelea kuwafagia wale wote waliofanya ufisadi na kujinufaisha maslahi bi nafsi na hivyo kupelekea fedheha kwa CCM na Serikali yake kwenye issue ya kuzilinda rasilimali za nchi yetu. Kurukaruka sio dawa ya...
  6. M

    Viongozi wa CHADEMA acheni kiburi, kubalini makosa na iombeni radhi Serikali, hali ya Lissu si nzuri

    Wewe kelao, huoni kuwa kebehi yako "we mpaka sasa umechangia ngapi mkuu" inazidisha ugumu wa kupatikana ufumbuzi na utatuzi wa kumpatia matibabu sahihi Tundu Lisu? Jeuri hailiwi.
  7. M

    Bodi mpya ya CUF yafungua accounts zilizofungiwa

    ACCOUNT ZOTE ZA CUF ZIMEFUNGULIWA NA BODI MPYA YA CHAMA. NI KATIBU WA BODI MHE THOMAS MALIMA KWA NIABA YA BODI AMEFUNGUA ACCOUNT ZOTE ZA CHAMA CHA CUF. Ni kupitia Katibu wa bodi ya wadhamini ya CUF Mh.Thomas Malima amefanikiwa kufungua account zote za chama zilizozuiliwa kwa muda na Katibu...
  8. M

    Jiji la Dar kufungwa camera za usalama kudhibiti uhalifu!

    ACCOUNT ZOTE ZA CUF ZIMEFUNGULIWA NA BODI MPYA YA CHAMA. NI KATIBU WA BODI MHE THOMAS MALIMA KWA NIABA YA BODI AMEFUNGUA ACCOUNT ZOTE ZA CHAMA CHA CUF. Ni .kupitia Katibu wa bodi ya wadhamini ya CUF Mh.Thomas Malima amefanikiwa kufungua account zote za chama zilizozuiliwa kwa muda na Katibu...
  9. M

    Ushauri wa maana: Maalim Seif Sharif aache siasa

    Rugaijamu, hivyo unajuwa kuwa huyo unaemtetea tayari amelikwaa gonjwa baya kwa sasabu ya tendo lake hilo la kishetani? Ndio maana afya yake imedhofu sana, lakini yeye ukimuhoji juu ya afya yake mbovu husingizia ugonjwa wa kisukari. Hebu mwambie akapime hapo Muhimbili kama uone kama hajakimbia...
  10. M

    Ushauri wa maana: Maalim Seif Sharif aache siasa

    Kinywaji kiitwacho "Uzalendo wa nchi yangu" Sent using Jamii Forums mobile app
  11. M

    Ushauri wa maana: Maalim Seif Sharif aache siasa

    Kuhusu Seif Sharif, huyu tayari Allah anamfedhehesha kutokana na uchafu wa matendo yake ya kishetani ambapo mengi ya matendo hayo yako kinyume na maadili/maamrisho ya dini zote. CUF ilianzishwa kwa Kumueka mbele Mwenyezi Mungu ili Akibariki, kwa sala za dini zote chini ya Mhe. Mapalala na...
  12. M

    Kete ya mwisho ya Maalim Seif ni kuunda chama kipya cha Siasa!

    Kuhusu Seif Sharif, huyu tayari Allah anamfedhehesha kutokana na uchafu wa matendo yake ya kishetani ambapo mengi ya matendo hayo yako kinyume na maadili/maamrisho ya dini zote. CUF ilianzishwa kwa Kumueka mbele Mwenyezi Mungu ili Akibariki, kwa sala za dini zote chini ya Mhe. Mapalala na Mhe...
  13. M

    Freeman Mbowe: Ni Upumbavu Kutumia zaidi ya Milioni Mia saba kufanya Uchaguzi wa Madiwani walionunuliwa na CCM

    Chuki zinaendelea kufanywa na Chadema chini ya mwenyekiti wake Mbowe dhidi ya CUF kwa kuhakikisha kuwa kila jimbo lilipangiwa CUF kwenye ukawa, Chadema walililazimisha kuweka mgombea ili kura za CUF zipungue na hivyo ishindwe kupata majimbo. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. M

    Kete ya mwisho ya Maalim Seif ni kuunda chama kipya cha Siasa!

    Nyinyi Chadema mnaojifanya cuf tunakujuweni. Ambalo hamlijui ni kuwa hiyo Chadema ni chombo tu kinachotumiwa na Wachaga kwenye safari ya kuingia Ikulu. Kwa hivyo wale wote ambao ni makabila mengine ndani ya Chadema ni kondoo wa kafara tu. Ushahidi wa hilo, nini kilimtokea Zito baada ya...
  15. M

    Freeman Mbowe: Ni Upumbavu Kutumia zaidi ya Milioni Mia saba kufanya Uchaguzi wa Madiwani walionunuliwa na CCM

    Mbowe inaonekana amechanganyikiwa baada ya kuona kuwa Mhe. Rais Magufuli anaenendelea kuwanyima Chadema agenda ya kuingia uchaguzini 2015 kwa vile tu Mhe Rais 'is delivering to the people, effectively'. Namshauri Mbowe kama hilo linamuudhi basi achukue kamba ajinyonge tu. Sent using Jamii...
Back
Top Bottom