Bodi mpya ya CUF yafungua accounts zilizofungiwa

Bodi mpya ya CUF yafungua accounts zilizofungiwa

mr red

Member
Joined
Jul 29, 2017
Posts
23
Reaction score
11
ACCOUNT ZOTE ZA CUF ZIMEFUNGULIWA NA BODI MPYA YA CHAMA.

NI KATIBU WA BODI MHE THOMAS MALIMA KWA NIABA YA BODI AMEFUNGUA ACCOUNT ZOTE ZA CHAMA CHA CUF.

Ni kupitia Katibu wa bodi ya wadhamini ya CUF Mh.Thomas Malima amefanikiwa kufungua account zote za chama zilizozuiliwa kwa muda na Katibu mkuu wa CUF Nd. Maalim Seif Sharif Hamad.

Kwa hiyo kuanzia sasa viongozi wa Wilaya wa CUF waende katika matawi ya benki ya NMB kufanya mihamala ya pesa ili waweze kufanya mambo muhimu katika Wilaya zao.

HAYO NDIO MAJUKUMU YA BODI NA KAZI ZIMEFANYWA NA BODI ENDELEENI KUJIDANDANYA..

HATA ENZI ZA NUHU WAPO WALIOZAMA KWA UJINGA TU LAKINI SAFINA WALIIONA

TUJENGE CHAMA KWA PAMOJA

THE GAME IS OVER .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazifungue tu tunywee balimi hizo pesa

In white-collar crime, there are ink stains instead of bloodstains.
 
Sijui ni kwa nn mahakama inakalia vyesi vingi vilivyofunguliwa na Cuf-Ukawa dhidi ya Cuf-Ccm.

Ile dhana kwamba yeyote anayetafuta haki ni sharti aidai mahakamani mbona sasa inakosa mantiki make sasa upande unaolalamikiwa unaonekana kuwa juu ya sheria.
 
Wanatamani wafunguliwe ili wale pesa za walipa kodi . Wahuni wagawane Wagawane.
Hazifunguliwi na nyengine hazifunguliwi.
Itawezekana kama tu serikali hii tunayo aminishwa basi ni wala rushwa na wafujaji wa pesa za umma.
Kama zitafunguliwa ni wazi pesa za umma zipo kwa ajili ya wahuni wachache.
Mtajipa moyo ila ni wazi pesa mlochota kipindi kile ni pesa haramu na zikihamishwa kama pesa za escrow na ni kesi ya uhujumu uchumi inayomkabiki mutunga na kundi lake ..kama sio leo ni kesho hilo litakuja
 
Sijui ni kwa nn mahakama inakalia vyesi vingi vilivyofunguliwa na Cuf-Ukawa dhidi ya Cuf-Ccm.

Ile dhana kwamba yeyote anayetafuta haki ni sharti aidai mahakamani mbona sasa inakosa mantiki make sasa upande unaolalamikiwa unaonekana kuwa juu ya sheria.
Tangu mgogoro huu unaanza mapema, tuliwaambia kuwa mwisho wa yote au sakata hili, LIPUMBA ndiye atakayeibuka kuwa MSHINDI na ndiye mwenyekiti halali wa chama cha CUF! Tatizo kubwa la baadhi ya watanzania wanapenda kushabikia jambo hata bila kuliangalia limetokeaje. KOSA KUBWA la CUF lilifanywa na Maalim Seif kutofuata utaratibu uliowekwa na katiba ya CUF ili kuishughulikia barua ya Lipumba ya kujiuzuru! Yeye alikomaa tu na UKAWA bila kujua kuwa UKAWA ni kitu ambacho hakipo kisheria na hakitambuliki na mamlaka yoyote hapa nchini! Lakini LIPUMBA, CUF na KATIBA yake vinatambulika kisheria na mamlaka zote za nchi. Kete moja tu iliyobaki kwa Maalim Seif ni mahakamani na mwishowe hata mahakama itamtambua Lipumba.
 
Back
Top Bottom