Ushauri wa maana: Maalim Seif Sharif aache siasa

mr red

Member
Joined
Jul 29, 2017
Posts
23
Reaction score
11
Kuhusu Seif Sharif, huyu tayari Allah anamfedhehesha kutokana na uchafu wa matendo yake ya kishetani ambapo mengi ya matendo hayo yako kinyume na maadili/maamrisho ya dini zote.

CUF ilianzishwa kwa Kumueka mbele Mwenyezi Mungu ili Akibariki, kwa sala za dini zote chini ya Mhe. Mapalala na Mhe. Shaaban Mloo.

Mwenyekiti Mapalala, kabla ya kufungua kikao au mkutano wowote, kwanza alikuwa akimtaka kila mtu aliyehudhuria kikao hicho aombe kwa dini yake. Mpaka sasa hivi bado hajaamua kutubia kwa Mwenyezi Mungu. Jambo hili, wengi wenu hamuamini kuwa amekuwa analifanya, kwa hivyo naomba mumuambie achukue udhu kisha aape kwa Yamini ya kiislamu kama atathubutu.

Bahati yake Allah amekuwa akimsitiri bila kumuadhirisha. Naomba mjue kuwa Allah akiamua kumfedhehesha mja wake, hata watu wote duniani waamue kumkinga na fedheha/adhabu ya Allah hawataweza kumkinga.

Wakati umefika kwa Seif Sharif kuacha siasa za majitaka na akae pembeni kwa maisha yake yaliobaki akimuamba Allah amsamehe. Wabillah Taufyq

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe umeacha nini?
 
Ndicho hasa lengo lenu kwa haya yote mnayomfanyia,lakini nakuambia hamtafanikiwa.
Ndo kwanza mnamjenga na kumsogeza karibu zaidi na mafanikio.

Naamini kitendo chenu cha kumtumia Lipumba kuivuruga CUF,kitaigharimu CCM zaidi kuliko upinzani
 
Rugaijamu, hivyo unajuwa kuwa huyo unaemtetea tayari amelikwaa gonjwa baya kwa sasabu ya tendo lake hilo la kishetani? Ndio maana afya yake imedhofu sana, lakini yeye ukimuhoji juu ya afya yake mbovu husingizia ugonjwa wa kisukari. Hebu mwambie akapime hapo Muhimbili kama uone kama hajakimbia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom