Recent content by Mr price

  1. Mr price

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Sijakaa sana huko tumia Airtel itakuwa best kwa uzoefu wangu
  2. Mr price

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    TTCL or Airtel 🔥🔥🔥🔥🔥
  3. Mr price

    JamiiForums Tanzania Msaada mtoto wangu mbegu moja imepotea

    Pole sana mkuu kwa comment nilizoziona hakika nijanga kubwa sana mtu unaomba ushauri watu wengine wanakubeza kama uko serious nitafute inbox nikuelekeze mahali ambapo utapata tiba sahihi kwa ajili ya mwanao
  4. Mr price

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ninakupa odds 3 fixed bure njoo dm
  5. Mr price

    JamiiForums Tanzania Kwa mshahara wangu wa million moja, itanichukua miaka mingapi kununu hii chuma?

    Ok kama unataka halali chukua huo mkopo ufungue biashara ya harder wear utafanikiwa
  6. Mr price

    JamiiForums Tanzania Kwa mshahara wangu wa million moja, itanichukua miaka mingapi kununu hii chuma?

    😃 Ukiwa muoga hautafanikiwa mkuu
  7. Mr price

    JamiiForums Tanzania Kwa mshahara wangu wa million moja, itanichukua miaka mingapi kununu hii chuma?

    Omba mkopo kazin kwako wa milioni 50 alafu tafuta odds 3 fixed utie mpunga mkuu
  8. Mr price

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Gambo ajibu mapigo ya Makonda "mimi nimeenda shule"

    Mr. Gambo is one of the most ignorant leaders in the world.
  9. Mr price

    JamiiForums Tanzania Uzi wa vyakula tu

    Karibuni sana
  10. Mr price

    JamiiForums Tanzania Wenye mamlaka, Pigeni Ban VPN

    Mkuu kwanini usinunue kisiwa chako mwenyewe alafu uzipige ban zote na kwani hauna gari mpaka upande daladala sio kwa ubaya nawasilisha
  11. Mr price

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wanaponda kilimo licha ya soko la bidhaa yake kuwa na uhakika?

    Nyanya 🍅 na aviator tofauti yake ni bando tuu
  12. Mr price

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wanaponda kilimo licha ya soko la bidhaa yake kuwa na uhakika?

    Nakumbuka kilimo cha nyanya 🍅 kilivyonifanyia 2017_2023 nashindwa hata kusimulia😓😓😓
Back
Top Bottom