Msaada mtoto wangu mbegu moja imepotea

Msaada mtoto wangu mbegu moja imepotea

Coca mitishamba inasaidia tu relaxation of muscles hivyo kama iko juu itarudi chini na kama chini itarudi juu mahali pake na ndio maana huchemshwa kwanza ili iwe ya moto.

Hili sasa sio suluhisho la kudumu ile open space lazima izibwe, so as far as my knowledge is concerned suluhisho sahihi ni surgery wapazibe pale ili nafasi isipatikane, ikitokea imerudi tena japo chances are low watashona tena ndio dunia.
Kunae watoto 2 niliwafanyia mie mwenyewe, had leo hawana hilo tatizo. M1 yuko drs la 6 now.
 
Huo ni mshipa, (ngiri) hiyo 1 imezama ndani, ila itarudi tyuh usijari, but dawa za mitishamba ndio tiba sahihi ya hilo. Utazunguka hospital zote hutopata tiba ya uhakika.

Mie naijua dawa yake, na naweza kumfanyia, km uko serious njoo inbox.
Iandike kuhusu hiyo dawa humu kwa faida yake na wengine, leo kwake kesho kwa mwingine
 
Pole sana mkuu kwa comment nilizoziona hakika nijanga kubwa sana mtu unaomba ushauri watu wengine wanakubeza kama uko serious nitafute inbox nikuelekeze mahali ambapo utapata tiba sahihi kwa ajili ya mwanao
 
Hata mtu mkubwa kuna wakati mapumbu/makende/korodani hupotea na kuachana na mfuko wake ukisinyaa tu hasa wakati wa baridi na hofu kuu
 
Mpeleke hospital wakamwangalie. Mimi WA kwangu alipata hiyo shida akiwa darasa la 3, alipofanyiwa checkup akapewa dawa za kutumia ili kuona kama inaweza kurudi na niliambiwa baada ya muda nitarudi ili kama haijarudi basi afanyiwe operation.
Alipofika std 5 tukarudi tena hospital na akafanyiwa operation mpaka sasa Yuko poa kabisa.
NI tatizo la kawaida usiogipe, wataangalia kama ipo huko juu na bado ni nzima basi wanaishusha na kama itakuwa imekufa basi wanaitoa kabisa
 
Coca mitishamba inasaidia tu relaxation of muscles hivyo kama iko juu itarudi chini na kama chini itarudi juu mahali pake na ndio maana huchemshwa kwanza ili iwe ya moto.

Hili sasa sio suluhisho la kudumu ile open space lazima izibwe, so as far as my knowledge is concerned suluhisho sahihi ni surgery wapazibe pale ili nafasi isipatikane, ikitokea imerudi tena japo chances are low watashona tena ndio dunia.
Sure, cryptorchidism hiyo..
 
Hujasema ni mtoto wa miaka mingapi lakini hali hiyo isikutishe maana baada ya kuzaliwa hadi kufikia miaka kumi mbegu zinaweza kupotelea ndani kwa sababu njia ya kupitisha mirija kati ya pumbu na tumbo inakuwa haijafunga vizuri.
Mfano wake ni ule wa pumbu kuning'inia wakati wa joto na kusinyaa wakati wa baridi kali.
Mpeleke mtoto hospitali akachunguzwe kama hali hiyo ya kupotea kwa mbegu ni ya kudumu au ni ya muda tu? Kama ikithibitika kuwa ni ya kudumu, kuna madhira yanayoitwa "Suspended testicles" yanaweza kuwa sababu ya kupotea kwa mbegu.
 
Ni mtoto wangu wa kwanza tulimpeleka kituo cha afya akapatiwa dawa ila hali bado. Kwa anaejua zaid kwa mliotangulia kupata watoto kabla naomba msaada wa mawazo
Mkoa Gani upon?? Maana kama ni mikoa ya pwani hiyo ni ngiri na dawa za asili hutumika
 
Kama sio hernia sawa ila kama ni hernia ile nafasi unaiziba vipi kwa nje? unipe elimu nikuletee wateja.
Mshipa sio Hernia, nahitaji kusahihishwa pia.

Mshipa (ngiri) ni korodani kuzama ndani, hutokea hasa wakati wa baridi, au ile alfajiri, na muhusika hupata maumivu makali ya kinena,

Hernia hii si ni busha? Ni kuwa pumbu zinajaa maji na kuvimba, ndo maana lazima ufanyiwe OP.
 
Back
Top Bottom