Recent content by MR PIECE

  1. M

    Mapendekezo ya wananchi: Muundo wa Baraza la Mawaziri kwa Serikali ya Awamu ya Tano

    Siafiki baraza lako,hujafanya vetting muafaka.Nina mashaka na ufahamu wako kuhusiana na uadilifu wa uliowapendekeza.
  2. M

    Fununu Fununu za Freeman Mbowe kuwa PM

    Serikali ya umoja wa kitaifa kwa lipi hilo wakati huu?Acha ndoto za mchana.
  3. M

    Ni kweli kuja kwa Lowassa CHADEMA kumesaidia kitu CHADEMA?

    Lowassa kawapandisha chati Chadema ,hili halina ubishi bali ni chuki binafsi dhidi yake kusema kuwa ndie kawakosesha ushindi.Kushindwa kulikuwapo tu,hata asingekuwa yeye mgombea
  4. M

    Ni kweli kuja kwa Lowassa CHADEMA kumesaidia kitu CHADEMA?

    huo ufisadi mnaujua nyie,wananchi wangeujua wasingemchagua kamanda mkuu Chenge
  5. M

    Bunge la kwanza mwaka 2016 nitacheka sana. Chama cha upinzani CCM watagomea hoja zote

    Haya ni malumbano ya vijana,siyo siasa.Mna muda wa kuchezea.
  6. M

    Baada ya Lowassa kuhama CCM hali ilivyo Monduli

    Tuache kabisa kuhubiri utengano,mkifanya hivyo ni kuonyesha wazi mlivyo wachanga katika game,na mwisho wake si mzuri.
  7. M

    Baada ya Lowassa kuhama CCM hali ilivyo Monduli

    mtakosea sana kuingiza masuala ya ukanda humu,hii ni Tanzania moja tafadhalini.
  8. M

    Lembeli: Nikikatwa jina, nitahamia chama kingine

    huna point ndugu,ujana si kila kitu,unaweza kuwa kijana lakini you can't deliver,unakuwa ndio mzee au sawa boss.Acha age discrimination .
  9. M

    Tanzia: Samuel Luhangisa, Diwani wa Kitendaguro - Bukoba Mjini afariki dunia

    RIP mzee Luhangisa Nilisoma na binti wake Rosemary Mzizima Sec.
  10. M

    Bahati Bukuku amuimbia Lowassa wimbo

    Utumwa ,utumwa,utumwa. Subirini moto tu,hasa viongozi wa dini ndio moto utawashukia kwa nguvu kwa sababu ya kuweka maslahi yao mbele kwa kisingizio cha jina la mungu.
  11. M

    Shigongo, kama biashara imekushinda, funga kampuni

    ningefurahi pia kama wangekuwa wanaonyesha faragha za askari wa pikipiki na wanaosimama na bunduki barabsrani wanavyowanyanyasa raia na bidhaa wanazitoka kununua madukani,utadhani wame import ni shida sana.
  12. M

    Hivi ni nani aliyeiloga CCM? Kumsafisha Maswi saa hizi siyo wakati Muafaka!

    dgnnviiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiììiiiìiiiiui
  13. M

    Hivi ni nani aliyeiloga CCM? Kumsafisha Maswi saa hizi siyo wakati Muafaka!

    1234567890qwerttyuiopasdfght1olkhnkkfjjdcbxbkbxb nk9o
  14. M

    Mohamed Said: Zanzibar ni nchi ya Kiislamu, Bara Kikristo

    Ana ruksa kutoa ya moyoni mwake ili murad asivunje sheria,ikibainika ana nia ya kutugawa Wa Tz kwa kigezo cha udini na ukabila hatua dhidi yake zichukuliwe.
  15. M

    Lowassa: Nimeshawishika, Nitagombea urais...!

    samahani,nilimaanisha na si kinyume na hivyo.
Back
Top Bottom