wiseboy.
JF-Expert Member
- Aug 11, 2014
- 2,931
- 4,550
Hawa GPL wanafanya makosa sana, nashangaa na serikali nayo iko kimya! Haki ya faragha inapotezwa kabisa!
Unashangaa nini wewe? CCM si ndo serikali yenu tukufu na sikivu?
Hawa GPL wanafanya makosa sana, nashangaa na serikali nayo iko kimya! Haki ya faragha inapotezwa kabisa!
Wezi wa wake za watu utawajua tu
Naye angekuwa msafi isingekuwa shida Lakini Naye ni full majanga halafu sio binadamu yule jamaa. Alichomfanyia mdogo wake Ed kwasababu tu ya kumfanyia utani mkewe Mungu pekee ndio ajuaye na siku hilo likija kuwekwa wazi sijui shigongo atauambia nini ulimwengu
Hawa wawajibishwe wamevunja ndoa nyingi za watu.
Umekurupuka mkuu, wewe unaijua imani yangu?
Una uhakika na unachokizungumza?
Kwani iman yako inahusika vipi kwenye kumtetea huyu Padri? Inawezekana mkawa mnafanya biashara pamoja, au labda rafiki yako, au vyovyote vile mnaweza mkawa na ukaribu. Hapa iman haihusiki kabisa.
Habari wanaJF
Kuna hii kampuni inaitwa Global Publishers ikiwa chini ya Bw. Erick Shingongo, kiukweli sidhani kama alisajili kampuni hii kwa ajili ya kuingilia faragha za watu lakini ndiyo kazi ambayo Global Publishers wanayoifanya kwa sasa.
Hapo awali Global Publishers walikuwa wakijikita zaidi katika uandishi wa majarida na vitabu lakini naona hiyo kazi wameona haiwalipi na hivi sasa wanazunguka kwenye nyumba za kulala wageni walipoweka kambi zao ili kudakua faragha za watu wanaofika katika nyumba hizo za kulala wageni wakiwa katika starehe zao.
Sitetei uzinifu lakini faragha ya mtu iheshimiwe, na siyo kazi ya Global Publishers kuwapiga chabo na kupiga picha bila idhini ya wahusika, huu ni udhalilishaji unaofanywa ma Global Publishers.
Wizara ya habari na utamaduni wakishirikiana na Brela waimulike tena hii kampuni huenda imesahau majukumu yake au imeshindwa kujiendesha kihalali.
Kuingiza hela kupitia udhalilishwaji wa watu fulani haikubaliki.

KIla jambo lina majira yake...ila kuna nyakti pia mtu uingia kwenye kumi nane za watu...kwa hili la Mtumishi mmoja wa nyumba moja kubwa ya IBADA ahaa SIO SAWA WAJIANDAE!!!!Soon and very soon BIASHARA IMEKWISHA kwa kuwa kwa mwenendo huo UTHABITI wa IMANI ya WAUMINI wa dhehebu la muhusika UNAKWAZWA na UKUSTAHIKIWA na akaangaliwa Mtenda kitendo bila kuangalia WAUMINI walio nyuma ya Mtenda Kitendo.
I hope its the END of the ROAD.....KUWA WATU WALIPATA NAFASI NYAKATI FULANI KUSOMA MAGAZETI YA UDAKU YALIKUWA YANAMILIKIWA NA GLOBAL.Kifo cha gazeti la SANI leo hii Kipepe na Pimbi ni hadithi labda ubunifu mpya uludi ndio hivyo hivyo Udaku na magazeti kwa tiketi ya Global Media umefika tamati. Usiniulize ni vipi wewe tega macho ya yako kesho na kesho kutwa na si leo hata mwaka na ushee lakini YATATIMIA.