Lembeli: Nikikatwa jina, nitahamia chama kingine

Lembeli: Nikikatwa jina, nitahamia chama kingine

Mbunge wa Kahama Mjini (ccm) na
Mwenyekiti wa kamati ya bunge maliasili
na utalii James Lembeli Amehamia
Chadema
 
Mbunge wa Kahama Mjini (ccm) na
Mwenyekiti wa kamati ya bunge maliasili
na utalii James Lembeli Amehamia
Chadema

Picha! Nimuone alivyopendeza na magwanda yake! Amevaa yepi? Meusi au ya kaki? Picha basi jamaani jamaani jamaani!ila sasa kamanda Mawazo sasa nae inekuaje chacha?!
 
Leo amehama wewe je..?

Mkuu kama ni kweli ni pm kesho takutumia picha nikiwa na Gwanda maana hadi sasa anayenichelewesha ni Lowassa tu. NB: Nilikuwa mfuasi mtiifu wa Lowassa na bado ni mtiifu kwake.
 
Akihutubia Mamia ya Wananchi Jimboni kwake, Mbunge wa Kahama, amewataka wananchi wake wafanye kama walivyofanya uchaguzi wa mtaa,
Kwamba kama chama chake kinaweka mtu asiyekubalika yeye afanyeje?...."Mimi ndio wa kuja kuzomewa? Mtu anatishia kukata jina, basi kateni jina langu, ukate jina langu we nani? "basi kateni Jina langu muone" aliongeza mbunge huyo machachari huku akishangiliwa na hadhara aliyokuwa akihutubia

Source ITV.

Hii inaonesha CHADEMA imewaingia wananchi kwenye damu....... note ...fanyeni kama mlivyofanya uchaguzi wa serikali za mitaa na wananchi kushangilia Kwa nguvu.........

Kwa maneno kama haya Lembeli CCM alikuwa kapanga nyumbani kwake kulikuwa ni CHADEMA.
 
Mbunge wa Kahama Mjini (ccm) na
Mwenyekiti wa kamati ya bunge maliasili
na utalii James Lembeli Amehamia
Chadema

Mkuu kahamia lini?.Kama Kahama CCM watakuwa wamempoteza mtu mwadilifu sana na mchapa kazi asiyependa majungu.
 
Mkuu kama ni kweli ni pm kesho takutumia picha nikiwa na Gwanda maana hadi sasa anayenichelewesha ni Lowassa tu. NB: Nilikuwa mfuasi mtiifu wa Lowassa na bado ni mtiifu kwake.

Wewe ni mtiifu wa lembeli au lowasa.
 
Wewe ni mtiifu wa lembeli au lowasa.

Kaka tuweke siasa pembeni, Lembeli ni tofauti sana na mbuge wangu Ezekiel Maige. CCM ilikuwa inabebwa na Lembeli,Ester Bulaya, Kangi Lugola na Filikunjombe,wengine hao waliobaki ni wabunge wachumia tumbo. Mimi nilijiunga CCM 1994. Kamwe sitapiga kura kwa kuangalia kabila langu never!! Lembeli ni mbuge mwenye hazi ya pekee. CCM Kahama walikuwa wanamnyanyapaa kwa kusimamia ukweli. Lowassa kwangu namuona kama kiongozi ambaye hawezi n kuongozwa kwa remote za JK na R1 ndiyo sababu wamemkata. No way out lazima nijisalimishe UKAWA kama ni kweli Lembeli ameamua kurudi Upinzani japo ningejifariji sana na Edo akichomoka.
 
Karibu mkuu sisi tupo kitambo.
 
huna point ndugu,ujana si kila kitu,unaweza kuwa kijana lakini you can't deliver,unakuwa ndio mzee au sawa boss.Acha age discrimination .
 
Back
Top Bottom