Recent content by Mr.mzumbe

  1. Mr.mzumbe

    JamiiForums Tanzania Ni kweli filamu ya Ottoman inaoneshwa Azam tv ili kuudhalilisha ukristo?

    Mkuu inabidi uvumilie tu, hii nchi tumeruhusu hii tabia TV au usafiri wa umma na n.k kupendelea dini nyingine waziwazi, na upande mwingine inabidi wawe wapole kwasababu mali haiwahusu. 1. Kwa mfano leo hii, siku ya jumapili kila TV ukigusa ni kwaya tu kutwa mzima, sisi Waislam tunaona sawa tu...
  2. Mr.mzumbe

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu juu ya biashara ya stationery

    Mkuu,naomba makadirio ya gharama ya kontena 1 la rim na faida zake likifika dar
  3. Mr.mzumbe

    JamiiForums Tanzania Pendekezo la hii kodi linawafaa TRA?

    Kodi kama hii, INDIA ipo pia.
  4. Mr.mzumbe

    JamiiForums Tanzania Simba kuipeleka timu uwanjani tar 25 ni kuidhalilisha club kubwa na bora barani Afrika dhidi ya club kubwa kisiasa Tanzania

    Yanga ni timu ya serikali na chama, kwahyo hawezi mtu kuwa Rais na hasiwe mwanayanga..Nyerere Yanga,Mwinyi Yanga, J.K Yanga, Samia Yanga...kusubiri Rais hasiwe Yanga basi Yanga itachukua back to back mpaka 2090 huko.
  5. Mr.mzumbe

    JamiiForums Tanzania Wanaovua viatu misikitini ni masikini

    Watu wengi kitu ambacho hawakifahamu ni kwamba, kipindi uislam unaingia kwa maana kipindi ambacho Mtume mwenye alikuwepo hapa duniani, watu walikuwa wanaingia na viatu msikitini, kwasababu kipindi kile mazingira ya msikiti siyo kama sasa, msikitini palikuwa ni jengo tu lenye michanga,udongo na...
  6. Mr.mzumbe

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio njia tano pekee za kuwa tajiri hapa duniani tajiri yoyote atapitia au amepitia njia moja wapo kati ya hizi.

    Hiyo njia ya 3. Kufanya Kazi Kwa Bidii na Maarifa, kwa kweli utajiri haupatikani kwa kufanya kazi kwa bidii, ukifanya kwa bidii utaishia kupata hela ya kula tu, ndio maana RC alisema pesa inategwa.
  7. Mr.mzumbe

    JamiiForums Tanzania Israeli - Imekuwa Taifa lenye nguvu kubwa sawasawa na jinsi Mungu alivyoahidi

    Israel nguvu zote ni za USA..subiri USA aache kuwafadhili ndio utajua Israel ni Taifa linalopiganiwa na Mungu au Shetani.
  8. Mr.mzumbe

    JamiiForums Tanzania Israeli - Imekuwa Taifa lenye nguvu kubwa sawasawa na jinsi Mungu alivyoahidi

    BIla USA , Israel ni sawa na Congo DRC ndugu yangu.
  9. Mr.mzumbe

    JamiiForums Tanzania Jedwali kamili la mishahara ya wafanyakazi wa TRA, Loooh !! 😋😋

    Endelea hapo kaka,hapo ulipo bora sana kuliko TRA.
  10. Mr.mzumbe

    JamiiForums Tanzania Jedwali kamili la mishahara ya wafanyakazi wa TRA, Loooh !! 😋😋

    Hujui chochote kuhusu madaraja, hakuna sababu yakupigizana kelele. Ila cha kukuongezea tu, serikalini siyo kama sekta binafsi , ndani ya miaka mi3 ushafanya kazi kampuni 4,wengi serikalini wanafanya kazi zaidi ya miaka 20, na kila baada ya miaka mitatu watu wanapanda vyeo, kwahyo kwa mtu...
  11. Mr.mzumbe

    JamiiForums Tanzania Jedwali kamili la mishahara ya wafanyakazi wa TRA, Loooh !! 😋😋

    Acha ushamba,vyeo serikalini kote muundo ni sawa.
  12. Mr.mzumbe

    JamiiForums Tanzania Jedwali kamili la mishahara ya wafanyakazi wa TRA, Loooh !! 😋😋

    Uwongo mtupu, hakuna posho kama hizo mbona.
  13. Mr.mzumbe

    JamiiForums Tanzania Jedwali kamili la mishahara ya wafanyakazi wa TRA, Loooh !! 😋😋

    Hii siyo Mishahara ya TRA, ipo chini sana, hujui chochote tulia ndugu.
  14. Mr.mzumbe

    JamiiForums Tanzania WAZO: kwanini serikali isipunguze muda wa kustaafu kwa watumishi wa umma

    Acha roho ya kichawi wewe, nenda VETA kajifunze hata kufuga nyuki ili ujiajiri kuliko kuwachawia wenzio. Ebu nipe mfano hata wa nchi 1 , baada ya ugumu wa ajira, umri wa kustaff ukashushwa then likaondoa tatizo la ajira. Au kama ili ni gumu sana, nipe mfano wa nchi hata 1 ambayo umri wa kustaff...
  15. Mr.mzumbe

    JamiiForums Tanzania Tangazo la nafasi za ajira jeshi la polisi

    Sasa Mkuu kama umri wako ni miaka 27, hapo si teyari moja kwa moja Tangazo linakuhusu na utaomba kama mtu mwenye Degree. Serikalini kidogo mfumo ni tofauti, kwa mfano jeshi cheo cha kwanza cha msomi , nafikiri wao msomi ni mwenye Diploma, Degree na kuendelea ni Nyota 1 (Hii kama umeenda...
Back
Top Bottom