Ni sawa na mtu anaye nunua kiwanja au kujenga nyumba kwa hela ndogo aliyo nayo, alafu kila siku anashindia dagaa.. baada ya miaka mitano atakuja kugundua kua kumbe alifanya maamuzi bora zaidi.
Its a type of marketing brooo... hata hivyo kupiga show bila kufika mshindo ni tatizo.. maana utakua huridhiki na kumchosha mwenzio.. raha ya tendo ni wote kufikia mshindo..
TBC Watambue kua hicho chombo ni cha Watanzania, wamiliki wa TBC ni watanzania wote, wakiwemo wana CCM, Wana CHADEMA, Na wengine ambao sio wanasiasa. kama wataamua kurusha mikutano ya kisiasa basi wasiegeemee CCM tu, warushe ma vipindi vya CHADEMA... They a so biase.. ndo maana TBC inachukiwa na...
Ningefurahi sana kama mkuu angewambia kua wale wote ambao wanajiuzuru ubunge na kuhama chama, hakuna kufanya uchaguzi mpaka mwaka 2020, Hawa wanaojiuzuru wanatuingiza hasara, gharama kubwa ya mabilioni ambayo ingetumikakufanya mambo ya maana inagharamia uchaguzi amabao umesababishwa na maamuzi...
Watanzania....acha tuitwe watanzaniaaaa... tunaongea sana... tuanasahau haraka... tunalaumu sana... , tumepigwa sana katika tawala mbili zilizopita, tumebiwa sana, tumefisadiwa sana.. leo hii tumesahau mara. tunatukana, hata kwa mazuri yanaofanyika hatupongezi..tunalaumu tu.. utawala huu...
Sio kweli kua tunachukiwa duniani kote, Africa pia ni dunia, nako tunachukiwa..? halafu sio mwafrica tu anaye chukiwa, Myahudi ni mweupe lakini nae anachukiwa na waarabu... wamarekani pia huchukiwa na waarabu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.