Usicheke I mean it!!!Hahahah! Jaman
Mimi nimeuelewa kitambo sana mkuu ila wengi naona hawajauelewa na wanaendelea tu kutoa ushauri.😛😛😊wachache sana wataelewa huu uzi.
Mzee kajitunguaa aiseee![]()
mkuu yani huyu mzee nimemvulia kofia, mzee anaenda na modern method😂😂tumekosa pesa tu kama mzee tungekuwa tumeshatimiza malengo ya mleta mada!Mimi nimeuelewa kitambo sana mkuu ila wengi naona hawajauelewa na wanaendelea tu kutoa ushauri.😛😛
Uchoyo sio mzur anakojoa kimoja bas, tena ni mzeeMweee!
Tabia mbaya ni kumuita ati ni mzee wakati anajua kuwa gizani paka wote ni weusi. Mwambie aje usiku kabisa na ni mara moja tu. Akiona vipi ni dau jingine tena. Mpe mtu waa watu kitu haiishi wala kupungua. Hujiulizi ukifa leo udongo utakulipa nini??![]()
![]()
sina mbavu,hiyo tabia mbaya
Aibu nn wewe 1.5 million chukua mtoto.umehaha kutafuta laki saba ya kodi.Loh! Ni aibu
Ushauri wako mbayaTabia mbaya ni kumuita ati ni mzee wakati anajua kuwa gizani paka wote ni weusi. Mwambie aje usiku kabisa na ni mara moja tu. Akiona vipi ni dau jingine tena. Mpe mtu waa watu kitu haiishi wala kupungua. Hujiulizi ukifa leo udongo utakulipa nini??
Kwani mkiwa hoteli nani atajua.akikutafuna njoo utupe mrejeshoUmri wake na heshma yake hapa mjini Loh!
Ukihama hapo kwa sababu ya hiyo atakushtaki kwa kesi ya wizi wa kuamiwa.na atakufungaNimepata kitu hapo,ila kwako sipaji mkuu
Du... ushauri wa vijana ni hatari... Mrudishie hiyo hela....Sio wote, wengine zinatight mkuu
Jeuri ipo sana


Kesho utakuja na Uzi Nina mimba ya baba mwenye nyumbaa...!! Mbele ya Pesaa Hakuna mwamamke mwenye Jeurii
