Hawa watangazaji (Laizer na Mmasai) wanahitaji kuboresha mtindo wao wa utangazaji. Wanapiga makelele ambayo yanakera baadhi ya wasikilizaji.
Kwenye kipindi chao cha Kili Breakfast, Waridi anaongea kwa sauti ya staha na inayovutia, na Joshua naye yuko vizuri.
Hata hivyo, hao watangazaji wawili...
Hawa watangaaji (Laizer na Mmasai) ni washamba sana, wanapiga makelele yaani wanaboa wanaumiza masikio kama wanalipwa mshahara sijui nadhani wanatangaza bure,
Kwenye show yao ya Kili Breakfast Waridianaongea kwa sauti ya staha na inayovutia, Joshua nae yuko poa ila hao watangazaji wawili...
Habari
Kwa eneo nililopo bei ya jumla ya kununua vocha imepanda kutoka Tsh 960/= kwa vocha ya 1000/= kwenda Tsh 970/= kwa Vocha ya Tsh 1000/=
Hivyo ukinunua Vocha Pc 10 Tsh 9700/= wanakuachia 300/= sawa na Tsh 30/= kila vocha
Hali imekua ngumu kwani bei elekezi ya Kuuza Vocha ni aidha Tsh...
Mkitaka kujua umuhimu wa Kambi za Jeshi katika mkoa muhimu ambao ni Lango la Tanzania ... Fanyeni zihame
Nafikiri kambi hazina shida, bali shida ipo kwa watu wa mipango miji hawana maono ya mbali
Jeshi lilipaswa kutengewa eneo la kutosha kiasi kwamba inakua ngumu kufika kwenye ina core ya jeshi
Utoshe kusema mtoa post umeandika pumba tupu
Nimesoma comment zote kwa kina lakini bado hujaonesha namna ya kupata faida pindi ww utakapo uza bidhaa kwa gharama kubwa huku mwenzio akiuza kwa gharama ndogo (halisia)
Kuna kitu kimoja mtoa post huelewi, faida inapokua ndogo sio zambi muhimu ni...
Kuna jambo moja haliko sawakwenye biashara za mazao ya kilimo, Bidhaa mbalimbali zinazotoka kwa wakulima kwenda sokoni/mlaji, zinawafikia walaji zikiwa katika hali ya uchafu kwa mfano Tangawizi unkuta ina udongo ... Udongo mpaka inapoteza mvuto, ndizi mbivu zina uchafu ulioshikamana, Maharagwe...
Kiukweli sio kama najisifu lakini kuipata hela yangu ukiwa ww sio mzazi wangu uache kazi ufanye kazi
Hua si hongi hovyo
Na kuepuka helo natafutaga partner wakueleweka ( hii kwa ambao hatujaoa), kumhudumia mchumba nitofauti na kudeal na variety of girls
Pili kwenye mavazi unatakiwa uwe na break...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.