Recent content by mr mapenzi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kwa yaliyotokea CHADEMA, tujifunze kuwa huru na sio kuwa mfuasi

    nipo tayari kuwa mpinzani kwa miaka mingine 50 kuliko kuwa sehemu ya genge la wahuni wanaotaka kuingia ikulu mwanangu atakuja kunilaani kwenye kaburi langu kusikia nilikuwa sehemu ya uchafu huu wa ukiwa
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tathmini inaonyesha UKAWA itashinda Urais

    dah ukawa wanajitukanisha matusi ya nguoni bila kujijua
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mlipuuza kuboresha magereza sasa ni zamu yenu

    hata mm kaka sithubutu tena kumuitA mtu fisadi
  4. M

    JamiiForums Tanzania WanaCCM, na wafuasi wa Lowassa, mamilioni kuhamia CHADEMA wiki ijayo

    yaani kaka tuna maono sawa
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge wanne wajiunga na ACT - Wazalendo

    mbona kigoma tupu halafu wao ndio wa kwanza kutoa kauli za ukabila
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kutokuwepo kwa CUF kwenye kikao cha UKAWA kunaashiria nini?

    dah yaan tumewaza pamoja
  7. M

    JamiiForums Tanzania Habari kwamba Makonda ameita wahitimu wa vyuo wasio na kazi waende kwake ni kweli?

    twende tu beba nakala ya vyeti vyako tutajua hukohuko me mwenyewe naenda hivyohivyo na nakala zangu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Habari kwamba Makonda ameita wahitimu wa vyuo wasio na kazi waende kwake ni kweli?

    dah kwa hiyo cc tuliochelewa kujiandikisha itakuwaje manake tangazo lenyewe naskia lilikuwa clouds tu. me kesho naenda hukohuko leaders na nakala za vyeti wakinitosa basi
  9. M

    JamiiForums Tanzania Habari kwamba Makonda ameita wahitimu wa vyuo wasio na kazi waende kwake ni kweli?

    asante kaka ila eneo ni wapi leaders au ofisini kwake
  10. M

    JamiiForums Tanzania Habari kwamba Makonda ameita wahitimu wa vyuo wasio na kazi waende kwake ni kweli?

    Wadau nilikuwa naomba kuuliza nimesikia mkuu wa wilaya wa ya Kinondoni ndugu Paul Makonda ameita wahitimu wa vyuo wasio na kazi kabla ya tar.15, je ni kweli na kama ni kweli ni wapi kwani wengine wanadai ni ofisini kwake wengine wanadai ni leaders naomba mnijulishe wadau pia na muda ni saa ngapi...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Siasa zimefikia tamati kwa hawa wafuatao

    ni kweli coz ninavyojua me slaa bado hajafika 70
  12. M

    JamiiForums Tanzania Escrow: Je, Watanzania ni ignorant au tumelogwa? Tuache cherry-picking kutafuta Mbuzi wa Kafara!

    vyovyyote ilivyo mm ni kama nyerere naamini kwenye ushahidi wa kimazingira katika nchi hii hakuna biashara ya halali utakayofanya ukaweza kutoa mabilioni,bilioni km shukrani na ww pasco nakuamini so sometym na ww usitumie makalio kufikiria
  13. M

    JamiiForums Tanzania CCM tumefikaje hapa tulipo?

    huyu le mutuz c lile baba zima lililopigwa picha likiparty katikati ya wajukuu zake kwenye after school bash, ila co issue namuuliza tu mpango wake wa kumngoa lusinde mtera bado anao?
  14. M

    JamiiForums Tanzania CCM tumefikaje hapa tulipo?

    umeona eeeh
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ilani ya CCM 2010-15 Imebaki miezi miwili, Itatimia?

    machinga complex tano zimejengwa dar, ukijumlisha na hii moja zinakuwa sita mbili kila wilaya
Back
Top Bottom