Msulibasi
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,957
- 8,005
Bunge ndo kama hivyo linavunjwa kesho,uchaguzi ndio October 25, Mchujo Dodoma na UKAWA bado, Watu wanaandikishwa kupiga kura, Mawaziri hawaonekani Wizarani wala Bungeni .
Napata hofu kama ilani ya 2010 itakwisha na kama haitimilizwi itaingia kwenye ilani mpya ama ndio changa la macho?
Kwanini wajifungie kudraft ilani mpya wakati ya awali haijatekelezwa vilivyo?