Tathmini inaonyesha UKAWA itashinda Urais

Tathmini inaonyesha UKAWA itashinda Urais

Naam, mabadiliko makubwa ya kimfumo yanaijia Tanzania. Tuombe MUNGU yatokee na kusonga mbele kwa amani. Tukumbuke Tanzania kwanza na memngine baadaye.
 
Mie sina shida na mshindi yeyote yule, bali niko na shida na integrity ya viongozi wa UKAWA so far.., 6 months ago wangeweza kupata kura yangu..., ila ninachokiona sasa hivi ni kuwa jamaa ni a bunch of opportunists,hawajajipanga, na wako radhi kubugia principles zao zote ili mradi tu wapate wanachokitaka.
Bavaria, Nguruvi3

dah ukawa wanajitukanisha matusi ya nguoni bila kujijua
 
Last edited by a moderator:
What about the integrity of the ballot? Do you care about it?

Hilo liko wazi.., Nyinyiemu kuachia madaraka tena kwa Lowassa ni hadithi za alinacha. The fact that Lowassa kajiaminisha hivyo, explains the size of the bubble he is in....,

Kura za afrika ni maigizo tu..,
 
ha ha ha..wabongo bana.laiti mngejua system inavofanya kazi hat kura mcngekua mnapiga.nyie mnadhani kwa nini hatz mwenyekiti wa ccm kaamua kwenda zake majuu kupunga upepo?
 
Nahisi harufu ya ukabila na ukanda tu,karudie tathmin yko kuna data zimemiss huku mbekenyera
 
Nenda ukaoge, Lowasa hawezi pewa nchi, hata Kwa mtutu. Wewe subiri uone kitakachotokea. Hivi hamjifunzi Kwa Laira Odinga. Yaani wewew huwezi kuwa na uchu hivyo wa kwenda ikuli then system zikae tu zikuangalie. Note: Mimi ni CCM, ila kama lowassa angepitishwa na CCM ningemtosa ni mwizi. Ila sasa kura yangu ni Dr. Magufuli. Mbunge ukawa. Lowassa simpendi tu ni mwiziiiii

tafadhari ndugu ikitokea vurugu mwaka huu kiss ccm imeanguka basi utakua wa kwanza kuwajibishwa kutokana na ushaidi huu wa post yako. tutaiifadhi paala.
 
Hapa ndipo kwenye hekima juu ya swali hili wengi hawajui suala hili ndio maana wanaropoka hovyi waelevu tunawahurumia tu na siasa zao hawataamini matokeo ya mwaka huu jinsi kura zitakavyo pungua upinzani na kwa kulijua hilo ndio maana chadema wamejishikilia ukawa sababu wanajua ushindi wao wa 2010 ulitokana na nini.

Inawezekana CDM walipokwa ushindi! lakini kuna hekima katika usemi huu wa kiingereza ambao natamani kuufasili kwa kiswahili sisisi!Au neno kwa neno! "ALWAYS IS NOT FOREVER", DAIMA SI MILELE!!
 
Back
Top Bottom