Mlipuuza kuboresha magereza sasa ni zamu yenu

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,788
Reaction score
165,484
Nakumbuka niliwahi kuleta uzi siku nyingi sana hapa JF nikiwasihi watawala waboreshe magereza na mahabusu zetu ili hata siku wakitoka madarakani na kushitakiwa,basi wakatumikie vifungo vyao sehemu walau zinazoweza kuishi binadamu ila walinipuuza na sasa kiama chao chaja.

Mramba na Yona company inakuja siku si nyingi hivyo msife moyo.

Sheria ni msumeno.
 
wale wote wanafiki na waongo lazima baada ya uchaguzi tuwashughulikie.
 
mwaka huu mbona siasa adi raha maana
1, wanafiki wote wanajulikana ,
2, wasaliti wote wanajulikana ,
3, waonga wote wanajulikana.
4,wachumia tumbo wote wanajulikana
5,wakomaza shingo kumbe ni viti maarumu kama mbatia wanajulikana
6, vibaraka wa saccoss za watu wanajulikana,
mwisho jembe letu magufuli linawika magogoni chini ya kauri mbiu ya taifa lenye wachapa kazi waadirifu kwa maslai ya taifa,
 
Nani atawafunga? Lowassa? aiseee...nimekoma kuwaita watu mafisadi kwenye hii nchi nasema nimekoma mimi......

Mama siasa ni mchezo wa akili,unatakiwa kuwa muelewa tu kwamba kwenye siasa hakuna adui wa kudumu. Politics is an art of possibles.

Wewe kwa akili yako kati ya Lowassa na Ccm nani ni fisadi sana, je heri ya Ccm kuendelea kutawala au Lowassa atawale?
 
mwaka huu mbona siasa adi raha maana
1, wanafiki wote wanajulikana ,
2, wasaliti wote wanajulikana ,
3, waonga wote wanajulikana.
4,wachumia tumbo wote wanajulikana
5,wakomaza shingo kumbe ni viti maarumu kama mbatia wanajulikana
6, vibaraka wa saccoss za watu wanajulikana,
mwisho jembe letu magufuli linawika magogoni chini ya kauri mbiu ya taifa lenye wachapa kazi waadirifu kwa maslai ya taifa,

Huyu huyu aliyeshirikiana na Mkapa kugawa bure nyumba za serikali Masaki na Oysterbay!!
Huyu huyu aliyeipiga serikali kwa kununua meli mbovu Mv Daressalaam!!??
 
Tusubiri oktoba bado mapema sana haitakuwa raisi kama unavyofikiria kura yako moja ishakuwa cancelled out na ya kwangu.
 
mwaka huu mbona siasa adi raha maana
1, wanafiki wote wanajulikana ,
2, wasaliti wote wanajulikana ,
3, waonga wote wanajulikana.
4,wachumia tumbo wote wanajulikana
5,wakomaza shingo kumbe ni viti maarumu kama mbatia wanajulikana
6, vibaraka wa saccoss za watu wanajulikana,
mwisho jembe letu magufuli linawika magogoni chini ya kauri mbiu ya taifa lenye wachapa kazi waadirifu kwa maslai ya taifa,
Hebu waeleze hao majuha! Mi nilikuwa nafikiri watu wako serious kumbe upuuzi mtupu.
YAANI TEAM MAKUFULI WANAJIANDAA NA 'CHANDIMU' - USHINDI ASUBUHI TUU!
 
Huyu huyu aliyeshirikiana na Mkapa kugawa bure nyumba za serikali Masaki na Oysterbay!!
Huyu huyu aliyeipiga serikali kwa kununua meli mbovu Mv Daressalaam!!??
Huyu huyu aliyewaambia wana Kigamboni wapige mbizi kama hawana nauli?
 
kwa hiyo fisadi kuu litafunga vifisadi vidogo vidogo? hahaaa.
"Hapa hatuchagui mtu maarufu, tunachagua mtu safi na huyu si safi" nyerere,1995

Nakumbuka niliwahi kuleta uzi siku nyingi sana hapa JF nikiwasihi watawala waboreshe magereza na mahabusu zetu ili hata siku wakitoka madarakani na kushitakiwa,basi wakatumikie vifungo vyao sehemu walau zinazoweza kuishi binadamu ila walinipuuza na sasa kiama chao chaja.

Mramba na Yona company inakuja siku si nyingi hivyo msife moyo.

Sheria ni msumeno.
 
Mama siasa ni mchezo wa akili,unatakiwa kuwa muelewa tu kwamba kwenye siasa hakuna adui wa kudumu. Politics is an art of possibles.

Wewe kwa akili yako kati ya Lowassa na Ccm nani ni fisadi sana, je heri ya Ccm kuendelea kutawala au Lowassa atawale?

Bora Magufuli kuliko Lowassa
 
Zamu ya babu seya kutoka na kuwapisha na hawa wezi nao waonje joto ya jiwe
 
Back
Top Bottom