Recent content by Mr losartan

  1. Mr losartan

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ila liverpool mungu anamuona[emoji23]
  2. Mr losartan

    JamiiForums Tanzania Msaada; Namba ya kupata Vitabu vya Hussein Tuwa

    Kama Heading inavyojieleza naomba mwenye namba ya Tuwa au Dada mtu ( ambaye nilikuwa nawasiliana naye bahati mbaya nimepoteza simu yangu ). Natanguliza shukrani kwenu wakuu
  3. Mr losartan

    JamiiForums Tanzania Simulizi:The President and I(Mimi Na Rais)

    Hiki kitabu kipo tayari??????
  4. Mr losartan

    JamiiForums Tanzania Hadithi kali Faili namba 25

    Miguu ya Kuku anakuja wakuu dakika chache tuweni wavumilivu.
  5. Mr losartan

    JamiiForums Tanzania Hadithi kali Faili namba 25

    Kuna muda huwatamani MTU asianzishe simulizi humu maana ni majanga tu
  6. Mr losartan

    JamiiForums Tanzania Ninachoendelea kujifunza kwenye sakata la Ajibu

    Mkuu, unamaanisha tp mazembe ikiweka dau kwa mchezaji anayecheza esperence na simba akaweka dau lake , huyo mchezaji anaweza kuikacha tp mazembe ? Ki uhalisi ajibu angepata wasaa mzuri zaidi Wa kujifunza na kukua tofauti kabisa na simba . Yale Yale ya ngasa kugoma kwenda El merreck ya Sudan...
  7. Mr losartan

    JamiiForums Tanzania Baharia; (Ujasusi, Mapenzi na Upelelezi wa kutisha)

    Kudo nikituma buku yako baada ya siku ngapi natumiwa riwaya
  8. Mr losartan

    JamiiForums Tanzania Taja Series 3 Bora Ulizowahi Kutazama

    Prison break Designated survivor Shooter
  9. Mr losartan

    JamiiForums Tanzania Taja Series 3 Bora Ulizowahi Kutazama

    Hapa ndio nimeenza Leo kuicheki hii movie nione kama yaliyomo yomo
  10. Mr losartan

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Spika Ndugai amsimamisha Stephen Masele uwakilishi wa Bunge la Afrika. Bunge limeteua mkaguzi kumkagua CAG

    Kwa mfano sasa ofisi ya CAG ikawa na madudu wataifanyaje? Na hilo LA kuikagua ofisi ya CAG lipo tangu enzi hizo au limeanzishwa karibuni kwa sababu ya neno DHAIFU
  11. Mr losartan

    JamiiForums Tanzania Baharia; (Ujasusi, Mapenzi na Upelelezi wa kutisha)

    Ni tarahuki kwa kweli
  12. Mr losartan

    JamiiForums Tanzania Shamim Mwasha, mumewe mbaroni Dar kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya

    Jina lako linatafsiri Yale unayoyaongea kwa kweli
  13. Mr losartan

    JamiiForums Tanzania 'Wasanii' wafuatao waache kuimba wakafanye kazi zingine

    Ongezea na Baba diamond
  14. Mr losartan

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    thanks mkuu u
Back
Top Bottom