Mmmmh' you are the best liar i have ever heard!
Mi nafikiri sio sahihi kulinganisha UDOM na UDSM kwa sasa.
UDOM ina umri wa miaka SABA sasa wakati UDSM ina miaka 52.Hivyo ukicompare products zao u won't be right at all!
UDOM ILIVYO SASA HIVI HAUWEZI KULINGANISHA NA UDSM YA 1968.
Kwa kigezo...
Lengo langu cyo hilo mkuu,mi nataka nijue faida ili nijue namna ya kuchange mind ya huyu jamaa!
Kitu kingine ni kwamba hivi kati ya jamaa na hawa wake za watu ni upande upi unapaswa kulaumiwa zaidi.
Wadau,nina rafiki yangu wa karibu sana na vile vile ni Supervisor wangu hapa ofcn,
Huyu jamaa yupo vizuri kimaisha maana at the age of 29 tayari ana nyumba,gari 2 za kutembelea na miradi kama restaurants.
Ila huyu jamaa bado hajaoa na hana mchumba ambaye labda unaweza kusema ni mtarajiwa...
Mi nafikiri tuache kabisa mambo ya wazungu haya.
Katika mila na desturi za kiafrika hakuna mambo ya kufanya mapenzi kwa kutumia midomo au vinywa.
Midomo haijawekwa kwa ajili ya ngono jamani,,,
MBONA HIKI KIZAZI KINAZIDI KUPOTEA,,,?
Mkuu omba kufundisha vyuo vinavyotoa certificates.
Naamini utafundisha vitu kama communication skills,administration,management,research na vinginevyo!
Umemaliza chuo gani mkuu?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.