Entitlements za WEO II na watumishi wengine

Entitlements za WEO II na watumishi wengine

naanza tarh 27 dec 2012 nilipo ripoti nikashauriwa na afisa utumishi nijaze fom ya likizo ya wk 2 wakat nasubilia pesa yangu ya kujikim na chek no.
Maafisa Utumishi wengine vilaza kweli, sasa ukijaza likizo siku zako 14 si utafidia wakati wa likizo yako ya mwaka? kwa kawaida mwajiriwa anapoajiriwa huwa anapewa ruhusa (sio likizo) ya siku 14 ili akafunge mizigo na kisaha kuhamisha familia. kwa hiyo wewe ulioaswa kupewa ruhusa ya siku hizo,kama ndivyo ujue umeshapata nusu likizo.

By the way Mtumishi yeyote haruhusiwi kupewa likizo kabla ya kufikisha miezi 8 kazini so wewe leave cycle yako itakuwa mwezi July/Agusti 2013
 
kutoelewa kwangu ila ni vzuri wengne mjifunze kama mkichaguliwa serikalin. Nashukuru kwa elimu, ubarikiwe ndugu.
 
  • Thanks
Reactions: SG8
kutoelewa kwangu ila ni vzuri wengne mjifunze kama mkichaguliwa serikalin. Nashukuru kwa elimu, ubarikiwe ndugu.
Hakuna sehemu niliyoandika kwamba hujaelewa, na kutokuelewa si kosa kubwa as utajifunza hukohuko. Nilichosema huyo Afisa utumishi lazima kilaza, Kwanini akupe likzo wakati kwanza unaajiriwa.
 
Subsistance allowance for 7days 65,000x7=
Transport No.of Km from Place of domicile/recruitment x 1000 x 3tone=
(please see standing order 2009 third edition) It was previously 14days subsistance allowance but it has been amended as above.
Standing orders inaonyesha ni siku 14 marekebisho yake yalifanyia machi baada ya walimu wapya kutoroka na mshiko wa kujikimu> hata hizo rates hazifanani Manispaa/Jiji ,65000, Makao makuu ya Mkoa 45000 na Sehemu nyinge ni 35000
 
SG8 tupo pamoja ndugu yangu. Na wewe ni weo ii nn? Anyway karibu masasi. Na pia kama kuna haki zangu nyingine ambazo nastahili kuzipata ntashukuru kama utanipa mwanga, si unajua tena kisomo hakikomi. Much respect to you
 
  • Thanks
Reactions: SG8
Usijali Mkuu. Usisahau kuwasiliana na hawa Invisible (sharing is caring),na Maxence Melo ili uichangie hii forum iendelee kudumu na kudumu. Otherwise hongera sana

Tehe tehe hakuna shaka mkuu, JF imetuweka mjini sana hatuwezi kuisahau...ntawa PM nione jinsi ya kuichangia JF iendelee kuidumia jamii yetu ya Kitanzania...
 
  • Thanks
Reactions: SG8
mshahara ni 511400 i am one of the selected weo ii. Nimeshajaza fomu za ajira nasubilia kupewa check no. Karibuni masasi wapendwa

Mkuu naomba unipe ufafanuzi kidogo hapo,kama basic salary ni 511,400 ni posho gani zingine ambazo WEO anapewa?
 
Back
Top Bottom