Mademu wa Tanga, HAKUNAGA

Mademu wa Tanga, HAKUNAGA

Hahahaaa nimerudi kwenye topic Mpwa niliteleza kidogo, hao wa Tanga hao utakimbia mwenyewe.....wakati nasoma Tanga Tech nilikua na mmoja nadhani ni huyo hapo wa pili au wa tatu sikumbuki vizuri mumewe alikua Mvuvi kila jamaa akienda kuvua mwanamke ananiletea samaki na miog, mmmhh huko kiwanjani sana kila siku mbavu zinauma, nikawa nakaa na Diclofenaki zangu, kila siku ya tukio lazima nimeze, nusura niishie Tanga
Nadhani utakuwa unamzungumzia yule dem wa kwa njeka kiongozi...lol!
 
Acheni utani hapa,hakuna demu anayetoka Tanga hata mmoja hapa!
Wote ni mademu wa Mbeya tena watatu nawafahamu!
 
Huyo mmoja alikua pale Eckenforde Secondary school alikua mfagizi sijui kama bado yupo ila huyo mweupe sana alikua anauza Genge pale Kisosora-tanga, halafu huyo mwenye maziwa mazuri mazuri huyo alikua anauza Juice ya Miwa bara bara ya Kumi na tatu pale....
Huyu mwenye gauni lililom'bana alikua anawauzia wanafunzi wa Galanos Mihogo na Ice Cream mida ya saa nne ni mwenyeji wa pale Nguvumali-Tanga.

Hao wengine wanaishi pale Mchuzi wa Nyoka ukielekea Pangani walikua majirani zangu
ndio maana wanajifotoa na kujibinua kumbe walikuwa wafagizi na wengine wauza mihogo,kwa hiyo wakaona wauze sura na mak......o yao,na watu wa Tanga kwa kupenda kwenda Mombasa ,angalieni kuna fire kwa God mnaopenda kwenda Mombasa
 
205568_393770684031842_1207813992_n.jpg




Hii kitu orijinol kabisa
 
Tanga ndo kwenyewe,wazuri sana tu halafu hawana gharama,nakumbuka jamaa alikuwa kwenye date ananuwa chips na fanta,halafu kwenye basikeli haoo guest house.

Wengine pia wazuri sana tu huko Morogoro.
 
Haya bana inaelekea mitaa ya kule, jmushi1 ni mwenyeji sana 🙂🙂 Tanga kunani?

Tanga ndo kwenyewe,wazuri sana tu halafu hawana gharama,nakumbuka jamaa alikuwa kwenye date ananuwa chips na fanta,halafu kwenye basikeli haoo guest house.

Wengine pia wazuri sana tu huko Morogoro.
 
Haya bana inaelekea mitaa ya kule, jmushi1 ni mwenyeji sana 🙂🙂 Tanga kunani?
Ha ha ha!Siyo mwenyeji sana mkuu,ila nshatembea kule,nakumbuka mara ya kwanza nilikwenda kumtembelea jamaa yangu aliyekuwa akisoma "popatlali" na nilikubali hiyo maneno.

Halafu hawana gharama bana.Kwanza nilipofika nikakuta jamaa wana baiskeli tu wanachukuwa watoto wakali sana tu,halafu date ni either chips ama mihogo na fanta tu,demu anapandishwa kwenye kitako cha nyuma kwenye baiskeli...Watu haoo,guest house.Michuchu ambayo maeneo mengine bila gari huchukui lol!,si unajuwa kibongo bongo?

Kwa michuchu Tanga ndo kwenyewe wala siyo siri.Na Morogoro pia.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
mkuu naja Tanga, najua wanapatika kule raskazoni, majani mapana. Chumbageni, nasubiri bonus yangu tu
 


Mbuzi mzee hapa umetudanganya! Huyu dada Mnyamwezi labda Tanga yupo kikazi tu.

Chezeya dada zangu totoz za Kinyamwezi weyeeee!!! Hapo bado haujakwenda mitaa ya bachu na subeti ukutane na 0.5 za kinyamwezi na Kiarabu. Karibu Tabora mjionee wenyewe.
 
Wewee hili zigo la ukweli. Huyu ukimpata lazima utatue malinda

Lichafu bhana mie sijalizimikia borah hao wengine ila uzuri upo machoni kwako kama unamuona mzuri wewe sawa.....!:confused2:
 
Acha chuki na Dada zetu wewe, mali zetu hizo bhana kama hutaki basi
ndio maana wanajifotoa na kujibinua kumbe walikuwa wafagizi na wengine wauza mihogo,kwa hiyo wakaona wauze sura na mak......o yao,na watu wa Tanga kwa kupenda kwenda Mombasa ,angalieni kuna fire kwa God mnaopenda kwenda Mombasa
 
Wanawake wanaotoka mkoa fulani hivi hapa Tanzania naskia ndio wavivu kabisa, naskia anaweza kukuambia kuwa wee endelea tu ukiamliza nifunike nilale zangu, sijui hata ni mikoa gani vile
 
Back
Top Bottom