Kama heading ilivyo nina eneo la kiwanda maeneo ya Kisarawe eneo lililoteuliwa kuwa la viwanda ,nina sqm 5000 ikiwa na document zote za serikali ,eneo lipo umbali wa km 8 kutokea kiluvya ,liko karibu na mradi wa SGR kuna nyumba ambayo sijaimalizia kujenga,
Nahitaji mtu aninunulie Bus ya abiri...