Haya Mambo sidhani kama wahusika wanayaona na kuyaelewa vzr.sasa mashuleni masomo ya sayansi imekuwa options zaidi mwanafunzi asome history ya Tanzania na maadili, history, English na kiswahili.
Atakaye Fanya innovations hizi kwenye hivi viwanda atatoka wapi?
Samahani sana wakuuu mimi ni graduate ambaye nimekutana na changamoto hii na najua wapo wengine ambao wanaendelea kukutana na hichi kitu.
Mimi ninakakibanda kangu ka uwakala wa mitandao ya simu, m-pesa nk. Sasa nilikuwa naomba sana msaada wa jinsi Gani naweza kuwa na weka rekodi zangu vizuri na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.