Recent content by Mr FCB

  1. Mr FCB

    JamiiForums Tanzania fantasy premier league 2022/2023

    Ligu kuu pendwa ya uingereza inaenda kuanza ijumaa hii, kwa wapenzi wa fantasy tupeane code za min league tuoneshane umwamba Pia mwenye code ya east africa radio fantasy atupie hapa tujoin
  2. Mr FCB

    JamiiForums Tanzania Msaada: Notes na mitihani kwa diploma ya medical lab.

    Habari zenu wakuu, naombeni mwenye notes nzuri za computer skills& information za mwaka wa kwanza za diploma in medical lab pamoja na mitihani mbalimbali ya masomo yote either 1St, 2nd or 3rd year anisaidie.
  3. Mr FCB

    JamiiForums Tanzania Je, ni chuo gani kizuri cha masuala ya uhandisi (Engineering) na teknolojia (Technology) Tanzania?

    Arusha technical college ndo kiboko yao
  4. Mr FCB

    JamiiForums Tanzania je wajuaaaa?

    Je wajua watu weusi tunaakili sana kuzidi watu weupe(wazungu)
  5. Mr FCB

    JamiiForums Tanzania Ipi ni kozi nzuri

    Kama mada inavyojieleza kati ya electrical engineering na auto electrical & electronics eng Ipi ni kozi nzuri
  6. Mr FCB

    JamiiForums Tanzania Yamenikuta hotelini, nilijua ni bonge la msosi kumbe..!

    Nakuomba ubadilishe avatar yako haraka kabla hujachukuliwa hatua
  7. Mr FCB

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye msanii mwenye muonekano wa kimasikini kuliko msanii yeyote yule.

    Kwani Kwani muonekano wako ukoje mkuu
  8. Mr FCB

    JamiiForums Tanzania Ukiijua hii Saikolojia na tabia ya Askari Polisi, hawatakusumbua sana

    Duh! huu Uzi umeuandika siku ngapi mkuu?
  9. Mr FCB

    JamiiForums Tanzania BATTLE!..Humble African Vs CCNP Engineer.

    ukionesha vyeti vyako mkuu itapendeza zaidi,maneno bila factual ni _ _ _ _ _ mtupu.
  10. Mr FCB

    JamiiForums Tanzania BATTLE!..Humble African Vs CCNP Engineer.

    ukionesha vyeti vyako mkuu itapendeza zaidi,maneno bila factual ni _ _ _ _ _ mtupu.
  11. Mr FCB

    JamiiForums Tanzania Je, huu ni ukweli uliofichwa kwa miaka mingi?

    Hapo sawa Hapo sawa mkuu
  12. Mr FCB

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Maskini Zari......🙌🙌

    Na Hawa ndio wanaume Wa dar,wakimwendokasi. Si wengine Wa mikoani hatutaki masikhara
  13. Mr FCB

    JamiiForums Tanzania Je, huu ni ukweli uliofichwa kwa miaka mingi?

    Ubaguzi huo mbona hujamtaja Mr FCB.
  14. Mr FCB

    JamiiForums Tanzania AUTO ELECTRICAL& ELECTRONICS ENGINEERING( ATC)

    Wadauu kama mada inavyosema hivi kozi ya electrical& electronics eng. Pale arusha tech.wanafundisha fresh au miyeyusho tu na mazingira ya chuo yanaridhisha? Kwa wale wenye uzoefu naombeni ushauri wenu maana wamenichagua direct niende hapo ,wadau, je chuo hiko kinafaa kwa kozi hiyo hapo juu na...
Back
Top Bottom