Yamenikuta hotelini, nilijua ni bonge la msosi kumbe..!

bongompya

JF-Expert Member
May 10, 2015
224
43
Dah nilijua ni bonge la msosi kumbeee...

HOTEL ZA KITALII BWANA!!!!

Unaenda Kempiski unaona menu imeandikwa:

Sauteed white corn, rare lucy beans, garnished with rift potatoes & topped with organic unprocessed guacamole.

Price: TSH 22,000

Unaagiza! Ukiletewa ndio unagundua kwamba:

Ni makande na parachichi..
 
Pole sana yashanikumba hayo sehemu fulani. Hivi sasa sitaki kabisa kusoma menu. Ninachofanya ni kumuita mhudumu na kumwambia lete wali samaki aliyekaangwa,juice fulani, kama ni ugali n.k. Nishawahi kuletewa chakula robo tatu ni ndizi tupu na mimi hapa ni Msukuma.
 
Yamenikuta ya kihivi, siku fulani tumepewa offer na bwana mkubwa fulani kwenye hoteli ya kifahari, watu wakaagiza agiza vitu vya maana wakaletewa minofu minofu, mimi pia nikaagiza kitu nilichokiona kwa menu chenye maelezo mengi na bei ghali, nikaletewa kabakuli kadogo kaliotiwa supu fulani, nikaambiwa hicho hapo ndicho uliagiza, nilinuna sana kuanzia hapo.
 
N
Pole sana yashanikumba hayo sehemu fulani. Hivi sasa sitaki kabisa kusoma menu. Ninachofanya ni kumuita mhudumu na kumwambia lete wali samaki aliyekaangwa,juice fulani, kama ni ugali n.k. Nishawahi kuletewa chakula robo tatu ni ndizi tupu na mimi hapa ni Msukuma.
Na msukuma bila ugali bado hajala kabisa
 
Mm kula hotelin siwez, kwanza sijui kushika kijiko mkono huu na uma mkono huu, pili ukimya ule huwa unaniboa muda nikiangusha kijiko bahat mbaya, tatu hotelin wanapunja sana misosi. Nikiwa sina pesa nakula wali nyama buku 2 kwa mama muuza, nikiziotea ni mwendo wa nyama choma, Kilimanjaro ndogo kwny ile baa yetu pendwa
 
Aisee tumetofautiana.

Binafsi napenda kujaribu vyakula tofauti.

Hapa Chuga kila weekend kazi yangu kutembela fancy restaurants na kuenjoy food.

Mimi ni vegan kwahiyo nyama au diary product yoyote situmii.

Chinese dishes ndiyo nambari one kwangu.

Kuanzia Fried rice/Steamed rice with vegetables and Tofu

Pac Choi + steamed rice au Nuddles

Mapau Tofu.

Vegetable nuddles.

Vegetable satay + spring rolls

Dip Sums + Tofu + vegetable nuddles.

Siku nataka ni spend less naangilia option ya Combo. Ni cheap kimtindo.

I love food man

Nimejaribu aina nyingi sana ya vyakula nyingine majina nimesahau.
 
Sawa wewe hutaki kula nyama ili iweje, wacha kuiga wazungu.
 
Sawa wewe hutaki kula nyama ili iweje, wacha kuiga wazungu.
Nakula vyakula vinavyotoka ardhini tu.

Sihitaji kuuwa mnyama nile.

Halafu nani kakwambia mambo yawazungu haya?

Ital muhimu kwa afya wewe mla kisusio
 
He he zanzibari hotel flan iv bana bana sijui niliagiza ndo lobster daah nilijuta sana harufu tu hoi na bonge la fish.
 
Nakula vyakula vinavyotoka ardhini tu.

Sihitaji kuuwa mnyama nile.

Halafu nani kakwambia mambo yawazungu haya?

Ital muhimu kwa afya wewe mla kisusio

Something has to die for you to eat, hata mimea unayokula inacharangwa mapanga ili upate mlo.
 
Something has to die for you to eat, hata mimea unayokula inacharangwa mapanga ili upate mlo.
Kula alkaline food uwe vizuri kiafya.

Ital is vital.

Hivyo vyakula mnakula, wanyama waliokufa mimi kwangu mwiko toka miaka mingi imepita.

Mimi siishi kama wanavyoishi watu wengi huko kwenye jamii.

Nipo na principles zakufuata.

Na moja ya hizo principle ni kula ital food.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom