Recent content by Mr Fan

  1. Mr Fan

    Naomba kueleimishwa kuhusu mimba ya huyu mke wangu

    Kua yangu ni uhakika yangu ila kinachonipa hofu ni calculation za madaktari na ukweli tunaoujua sisi na je ikitokea siku zikapitiliza hadi week ya 43 na wao walitwambia mwisho ni week ya 42 watamfanyia upasuaji ikipita sababu ndo hua hatari ikizidi hapo
  2. Mr Fan

    Naomba kueleimishwa kuhusu mimba ya huyu mke wangu

    Mpka naongea na ww yuko hospitali ila cha ajabu madaktari wamepima ultra sound wanasema ndo week ya 41 inaishia ila kwa hesabu zangu naona imefika week ya 42 ndo inaishia
  3. Mr Fan

    Naomba kueleimishwa kuhusu mimba ya huyu mke wangu

    Nina mwanamke wangu mara ya mwisho kuingia hedhi ilikua tarehe 20 august 2024 na tulisex tarehe 31 august na tarehe 1 september ila tarehe za kujifungua naona zmepitiliza zile siku 280 lakini mpka leo tarehe 8 june 2025 bado anayomimba au mm calculation zangu sijapiga vzur naona tarehe...
  4. Mr Fan

    Taasisi ya Tanzania Food and Nutrition Centre wanalipa vizuri kwa myakazi anayeanza kazi hapo?

    Wakuu nataka kuuliza hii taasisi ya Tanzania food and nutritio centre inalipa vzur kwa mfanyakazi aneanza kazi hapo? Maana mdogo wangu amechaguliwa kama laboratory scientist kwa level ya degree.
  5. Mr Fan

    Nina nia ya kuwa Rais wa Tanzania

    Mkuu tangu uhuru viwanda vidogo na vikubwa jumla ni 98,678 so ww utawezaje kujenga laki moja kwa miaka 10 au unaota
  6. Mr Fan

    Natafuta msaada wa wazo la biashara

    Bachelor of Technology in laboratory science.
  7. Mr Fan

    Natafuta msaada wa wazo la biashara

    Samahani wakuu mimi ni kijana na umri wangu ni miaka 27 muhitimu wa degree. Nilikua nafanya kazi kwenye kampuni japo kwa muda huu imesimama, nilifanya saving zangu nikafikisha miliioni 4.5. Nimekuja kwenu nikiomba wazo la biashara yyte ambayo naweza kufanya kwa hio hela na mkoa gani...
  8. Mr Fan

    Umewahi kuachana na mtu kisa kazidisha mapenzi?

    Kuna binti mmoja ni mchaga alinipenda sana na alikua anawivu hatari imargine mm sio mtu wakupenda video calls lakin yy atapiga kila mda na hapo usipopokea ni lawama kila siku. Kuna mda anatuma mesej nyingi m najibu kwa meseji moja hapo inakua kesi na napigwa block juu ila uzuri nilikua simtafuti...
Back
Top Bottom