Recent content by Mr Eggo

  1. Mr Eggo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimezaa nje ya ndoa nifanyeje nimweleze wife?

    Sasa apo mke wako anahusikaje!?...Man up bana acha umama
  2. Mr Eggo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimsaidiaje mke wa mtu anayenyanyaswa na mume wake?

    swali zuri sana, Hii tabia yakuwaonea huruma wanawake bila kujali nafasi yako na matokea hasi ni ujinga uliopitliza
  3. Mr Eggo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ungefanya nini ukijua unakufa kesho ?

    I would have talk to my kids niwahusie juu yakufanya ibada,kua watu wema nakuhakikisha wakati ukifika wanaoa wanawake wacha Mungu ambao pia wamelelewa katika familia zenye maadili na kujenga familia nzuri yenye amani upendo etc
  4. Mr Eggo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu changamoto hii ya mke wangu

    Haujui unachoongea,You never forgive a cheating woman.you guys ndo ambao mna compromise manhood mnaingiza uanamke kwenye uanaume.
  5. Mr Eggo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu changamoto hii ya mke wangu

    "Usipomuacha uyo mwanamke utakua umejichimbia kaburi". Huwezi kumuamini tena,she did it once she can do it again. Apo kubalianeni mlee watoto tafta mwanamke oa
  6. Mr Eggo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke mwenye miaka 36 anataka nimuoe lakini mimi uchumi wangu aupo sawa, je nitaishi naye kwa amani kwenye ndoa?

    Kua nae kwenye mahusiano usikubali kumuoa at this point,jitafute kwanza
  7. Mr Eggo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usioe au kukaa na binti bila kumpiga radar wengi ni mapilot na wachawi sugu

    I totally agree
  8. Mr Eggo

    JamiiForums Tanzania JF challenge ya "NO REFORMS, NO ELECTION": Target replies 3K

    NO REFORM,NO ELECTION
  9. Mr Eggo

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kuchanganyikiwa basi kaangalie mahojiano ya jana ya John Mrema na Ciza Clouds tv

    Nimeishia kukwazika ata sijamaliza kuskiliza
  10. Mr Eggo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimebaini mke wangu amezaa nje ya ndoa na amekiri, naombeni ushauri

    huu mwandiko wa mke wako kabisa🤣,stuka. Achana na uyo mwanamke bado mapema atakuja kukudhalilisha zaidi uko mbele.Just let her be
  11. Mr Eggo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Njiapanda Kichwani kuhusu wanawake hawa watatu

    Excellent response
  12. Mr Eggo

    JamiiForums Tanzania 7 natural laws of business

    This is a masterpiece advice.Ubarikiwe mkuu umenipa strategy muhimu sana zakuanzia mwaka 2025.
  13. Mr Eggo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nataka kuolewa, ila nataka nieendelee na uhuru wangu

    Nyie ndo ambao mnafanya takwimu za talaka ziongezeke,huwezi kuolewa ukawa huru.Kua single mother acha kusumbua watu
  14. Mr Eggo

    JamiiForums Tanzania Karma Haipo, Karma ni dhana ya kimaskini kuwafariji maskini

    I totally agree with you,ni dhana ya maskini kujifariji,kama karma ingekua kweli basi wazungu walivyotutesa wangekua na hali mbaya sana. They are still F***ck us na amna kitu tunawafanya wala iyo karma
Back
Top Bottom