Recent content by mr chakubanga

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kati ya bachelor of science in statistics na land management and valuation ipi itanifaa kusoma chuo mwezi wa 10 mwaka huu?

    Kasome Economics iko markertable na kila taasisi utafanya kazi
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

    hatimaye mchakato umefikia ukingoni
  3. M

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya mchujo TAKUKURU: Let's be honest with each other

    Wameita kazini
  4. M

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa Mwenyekiti wa CCM Dodoma: Rais Samia achaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Taifa kwa kupata kura zote 1862 zilizopigwa

    Huyu Naibu Katibu wa bara ni mkuu wa mkoa wa Ruvuma?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!”

    Pasco at his best [emoji1376][emoji1376]
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mishahara ya tutorial assistant vyuo vya umma

    Hakuna lecturer bila PhD.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

    mkuu Ewura wana benefits zipi tofauti na mshahara ? posho na marupurupu mengine
  8. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa marupurupu na maslahi ya ofisi ya CAG

    ni kweli mkuu but nipo in private compay ambapo ni pazuri pia ndio maana nataka kujua huko kwingine
  9. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa marupurupu na maslahi ya ofisi ya CAG

    zaidi ya mshahara na kitu kidogo vipi kuna posho zozote kama za nyumba au usafiri ??
  10. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa marupurupu na maslahi ya ofisi ya CAG

    habari za jioni wakuu, Mimi ni mfanyakazi katika sekta binafsi ningependa kujua marupurupu na maslahi mengine kama overtimes tofauti na mshahara katika ofisi ya CAG kwa nafasi ya Civil Engineer II. Natanguliza shukrani
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ni nani alikuwa bora zaidi, Drogba Au Eto'o?

    Drogba vs Eto’o: Who was the greater African striker? | Goal.com
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ndugu wanachangia kunirudisha nyuma kimaendeleo

    Panga vitu unavyotaka kufanya ukipata hela nunua au fanya moja kwa moja hutobaki na hela ukiombwa hutokua na cha kuwapa
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tafakuri ya FaizaFoxy 3: Njozi. Saikolojia ya Siasa

    Experience [emoji818] Expirience [emoji808]#Kwani shule mlienda kusomea ujinga
  14. M

    JamiiForums Tanzania Daktari anasoma miaka 5-7 na mhandisi anasoma miaka kati ya 3-4 lakini ona tofauti ya mishahara kati yao hapa chini

    Udaktari ni wito kama umesoma ili utajirike umepotea njia
Back
Top Bottom