Recent content by Mr Big

  1. Mr Big

    JamiiForums Tanzania Japan wafanya onyesha la gari linalopaa angani - vipi Afrika tunajifunza nini kwa wenzetu

    Africa tunajifunza kuongeza watoto na nyumba ndogo
  2. Mr Big

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Malawi nao wapiga stop Kenya airways

    Kenyan wanatumiwa sana na mataifa ya nje!!that is a big problem,,and some of african countries have recognized that,they will pay it,
  3. Mr Big

    JamiiForums Tanzania GE2020 Katibu wa CCM Wilaya Kyela anadaiwa kumwaga dawa ukumbini muda huu

    Mkuu umeandika post saa sita za usiku, yawezakuwa mlikuwa pamoja nae sema mmezidiana kete tu!!
  4. Mr Big

    JamiiForums Tanzania Mpya: Askari polisi wa kituo cha Mbalizi Mbeya wafanya Ibada kituoni kuomba Mungu atuepushie janga la Corona

    Watu wakiomba mnaongea,wakienda kunywa gongo napo mnaongea, Mtaacha lini kuongea? Acha jina la mungu loitwe kila kona maana zinaa na dhambi mlifanya kila mahala pia ..
  5. Mr Big

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hadi Kenya inabezwa kanisani kule Tanzania, ndugu zetu huu ujasiri mnautoa wapi?

    Wakenya Mnaambiwa mrudi kanisani msali mtajifungia ndani hadi lini? Wakat huo mnamwita magufuri kaidi, Wakat rais wenu yuko bar anakunywa Gongo.
  6. Mr Big

    JamiiForums Tanzania CORONAVIRUS: Naongeza miluzi ya tahadhari lockdown iharakishwe

    Hali tete sana mkuu,,
  7. Mr Big

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna uwezekano mkubwa wa LOCKDOWN nchi nzima. Kama hujajiandaa fanya sasa

    Mkuu Mshana Jr unaniangusha sana kwenye kuandika mada isiyokuwa na mashiko kama hii... Hivi unadhan ni rahisi kiasi hicho? Hili jambo ni gumu sana na wala haliihitaj mjadara kwa sasa.. Nchi iko kwenye khar nzur tu wala hakuna viashilia hatar vya kusema watu wajifungie ndani
  8. Mr Big

    JamiiForums Tanzania Nafundisha somo la Kiingereza

    Mi nafundisha kizigua
  9. Mr Big

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Video: Namna mkenya alivyompa makavu Uhuru Kenyatta na timu yake kuhusu Corona

    Kisa kampongeza ruto?acha kuhisi hivyo mkuu
  10. Mr Big

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Video: Namna mkenya alivyompa makavu Uhuru Kenyatta na timu yake kuhusu Corona

    Nadhan Taifa lolote linahitaji watu kama hawa wanaoweza kusema na kuwaambia ukwel pale viongozi wa juu wanapofanya makosa, bila hiana wala uoga. Huyu jamaa ukimwangalia alichokizungumza ni facts, Plz watch out!
  11. Mr Big

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Corona: Uchumi wa Rwanda taabani kufuatia " lockdown".

    Movie bado inaendelea😆
  12. Mr Big

    JamiiForums Tanzania Mtanzania afukuzwa China kwa kushindwa kuheshimu taratibu za kujinga na ugonjwa wa covid-19

    Sema ukwel pia baadh ya immigration officer huwa wanaboa sana hasa wanapokuona ngoz nyeus au unatokea nchi fulan maskin.. Tunaosafir safiri tunaelewa haya mambo, ukikutwa una hasira za karibu unaweza hata ukaachia haja ndogo ofisi zao..
  13. Mr Big

    JamiiForums Tanzania Ufaransa yashangazwa kwanini virusi vya Corona haviwadhuru Waafrika

    Your also still here!
  14. Mr Big

    JamiiForums Tanzania Barua Iliyotumwa kwa Waziri Mkuu kuhusu Makato ya Bodi ya Mikopo na Tozo ya Asilimia 6 kila Mwaka

    mi mkopo wao namaliza kuwalipa mwez ujao,yan nashaur sana kwa nyie vijana mnakimbilia mikopo kuliko upewe mkopo na hii bodi bora usisome kabisa..maana mwisho wa siku unajikuta unawatumikia wao... Mimi kila mwez wana ni bwenga lak tano...its pain a lot . They get double profit
  15. Mr Big

    JamiiForums Tanzania Hii safu ya viongozi wa ACT-Wazalendo inafikirisha sana!

    Ilikuwa ya udini mkubwa!
Back
Top Bottom