Recent content by Mr Bean

  1. Mr Bean

    Utamu wa Big G ni kutafuna...

    hamjambo wadau. kuna nyimbo leo niliisikia kwenye redio ya gari langu Altezza leo asubuhi , kuna msanii alikua anaimba akawa anasema " utamu wa Big G ni kutafuna,,," mimi maisha yangu yote nilikua ninameza Big G ,, sasa leo nikaamua kujaribu kutafuna nione kama kweli ndio inakua tamu. kumbe ni...
  2. Mr Bean

    Naomba msaada wa kufafanuliwa hii barua pepe, nahisi wanataka kunitapeli

    Huu utapeli bado upo tu?. mie hii kitu walinitumia mwaka 2012, nikawatoa nduki sana.
  3. Mr Bean

    Nataka kuoa baada ya Ramadhan

    nipo muoaji,, muolewaji ndio hayupo ushaolewa Karucee?
  4. Mr Bean

    Nataka kuoa baada ya Ramadhan

    nimejifunza kitu kuhusu uhusiano kutoka kwenu. Mungu awajaalie muoane na mudumu na furaha katika ndoa yenu. pia nipo available mkitaka kunialika harusini
  5. Mr Bean

    Nataka kuoa baada ya Ramadhan

    nimeipenda relationship yenu kati yako na achiduke .. naomba kujifunza haya 1. uhusiano wenu una muda gani? 2. mlikutana wapi? yaani kujuana mwanzo kabisa ilikua wapi 3. upo tayari kula bullet za kifua kwa ajili ya achiduke ?
  6. Mr Bean

    Nitapata wapi materials ya advance kwa PCB

    Lete 60,000.. nikupe Chand na BS-3
  7. Mr Bean

    Nataka kuoa baada ya Ramadhan

    Madame S unaswali taraweh kabisa au? mie nakungojea huku inbox hadi nimechoka
  8. Mr Bean

    Vodacom yapunguza vifurushi vya wiki vya chuo

    airtel nao walipunguza kitambo tu
  9. Mr Bean

    Nataka kuoa baada ya Ramadhan

    madame muda wa swala huu, nikirudi msikitini ntakutafuta inbox
  10. Mr Bean

    Nataka kuoa baada ya Ramadhan

    madame S unaishi dar?
  11. Mr Bean

    Nataka kuoa baada ya Ramadhan

    doh, haikua rizki yangu kumbe . bado sijapata, ila kila kitu huanza na nia. nimeweka nia tayari. sasa naanza step inayofata ya kutafuta.
  12. Mr Bean

    Nataka kuoa baada ya Ramadhan

    sawa mkuu, huenda Madame S akawa my future wife. who knows?
Back
Top Bottom