Naomba msaada wa kufafanuliwa hii barua pepe, nahisi wanataka kunitapeli

Kanali mwime

Member
May 5, 2018
71
171
Wakuu mimi elimu yangu ni darasa la saba, naomba mnisaidie kuichambua hiyo email nimetumiwa na dollars anajiita Mjeda huko Marekani.

Wakuu naomba mnifafanulie huu utapeli

Screenshot_20180704-153833.png
 
Johansburg ni jina la dogo mmoja wa tandale usiogope mkuu hii Email ni maarufu sana humu itafute utaipata.
 
watakutapeli na ukijichanganya zaidi wahuni watakubaka kabisa kuwa makini kiongozi
 
Huu utapeli bado upo tu?. mie hii kitu walinitumia mwaka 2012, nikawatoa nduki sana.
 
Back
Top Bottom