Recent content by mr Aroon

  1. mr Aroon

    JamiiForums Tanzania samsung A11 ipo sokoni

    fanya 150k boss
  2. mr Aroon

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    nauza SAMSUNG A11 uwezo; ram 2Gb, internal storage 32 bei; 170k location; dar es salaam-mabibo NIT mawasiliano; 0752641318 mali halali haina shida yoyote
  3. mr Aroon

    JamiiForums Tanzania samsung A11 ipo sokoni

    nauza simu aina ya SAMSUNG A11 uwezo; RAM 2GB, internal storage 32 Bei ; 170k location; dar es salaam- Mabibo mawasiliano; 0752641318 mali halali haina shida yoyote
  4. mr Aroon

    JamiiForums Tanzania Sheria Ngowi umetuweza mwaka huu

    Fatilia vitu siyo unalopoka jezi imebebaa vizazi kadhaaa toka malegend had kizazi cha sasa ndiomana aziz ki yupo pale maana n moja ya kizazi cha sasa
  5. mr Aroon

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote halali ili nijipatie kipato kuendesha maisha yangu

    Habari wana JF members, Naitwa Haruni nipo Songea elimu yangu ni kidato cha nne, natafuta kazi yoyote halali ili nijipatie kipato kuendesha maisha yangu. Kwasasa nafanya kazi ya saidia fundi lakini kazi nazofanya ni za siku mbili tatu nakaa wiki ndo napata kibarua kingine,kwahiyo nataji walau...
  6. mr Aroon

    JamiiForums Tanzania Posho za kuandikisha sensa 2022 zipoje?

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  7. mr Aroon

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Lakin kwenye yale majiana si waligawa kata zote watu wote waliomba na wanaohitajika manispaa nzima ? mfano sisi kata yetu huku kulikuwa na watu almost 300+ wa nafasi za ukarani wanaohitajika ni 66 tu na maudhui waombaji walikua 116 wanaotakiwa ni saba,,kwahy nafasi moja inagombaniwa na watu weng
  8. mr Aroon

    JamiiForums Tanzania Majina ya waliofaulu usaili wa Sensa 2022

    Mikeka jmn
  9. mr Aroon

    JamiiForums Tanzania NBS mmezingua! Mngesema Toka awali nafasi za kuomba ni Karani na TEHAMA tu

    Mbona mimi ni jobless tu na jina nimeliona kwenye usimamizi wa maudhui
  10. mr Aroon

    JamiiForums Tanzania Majina ya sensa yapo katani tayari fuatilia jina lako

    Liko wilayania au katani ?
  11. mr Aroon

    JamiiForums Tanzania Majina ya sensa yapo katani tayari fuatilia jina lako

    Lipo wilayani au katani ?
  12. mr Aroon

    JamiiForums Tanzania Simba SC Msiogope Kuwaiga Amazulu FC

    Mafanikio hayaji siku moja,,kwenye soka inahitaji uwekeze pesa then uwe mvumilivu ,so kwa kesi ya simba swala la kuacha wachezaji ni sahihi kwao maana wengi wao wameshatumika zaid ya misimu mitatu na consistency yao imeshuka mfn mugalu,kagere,bocco,wawa,thadeo,gadiel hawa wote wanastahili...
  13. mr Aroon

    JamiiForums Tanzania Huu hapa mchongo wa kufanya kwa kijana apate hela ya kula

    [emoji16][emoji16][emoji16]
  14. mr Aroon

    JamiiForums Tanzania Houseboy anahitajika Moshi

    Kweli ukoroni haujaisha bado
Back
Top Bottom