Hilo karatasi mbona chafu sana...kama tangazo la 2012.Wako fasta
Nadhani dar itakuwa ya Mwisho kama ilivyokuwa kwenye usailiya dar mbona kimya...
Mwanzo wa kuharibu kaziUnawaza pesa Muda huu
Itakuja soonMikeka jmn
Mmmh kama mambo yenyewe ndo hivi kweli ni balaaWaliofaulu ni UVCCM peke yake[emoji116][emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 2304205
Kwa kweli ni wengi mno. Angalia views ni 11k+Kwa replies hizi naona wengi wanasubiria majina yao. Mungu awape hitaji la mioyo yenu
Ameen!Kwa replies hizi naona wengi wanasubiria majina yao. Mungu awape hitaji la mioyo yenu
Morogoro MC na Morogoro DC bado mzee tuendelee kusubiriwadau mwenye pdf ya moro municipal kata yeyote hle aweke humu tuyazoom