Natafuta kazi yoyote halali ili nijipatie kipato kuendesha maisha yangu

mr Aroon

Member
May 18, 2022
24
15
Habari wana JF members,

Naitwa Haruni nipo Songea elimu yangu ni kidato cha nne, natafuta kazi yoyote halali ili nijipatie kipato kuendesha maisha yangu.

Kwasasa nafanya kazi ya saidia fundi lakini kazi nazofanya ni za siku mbili tatu nakaa wiki ndo napata kibarua kingine,kwahiyo nataji walau nipate kazi yoyote ya uhakika ili kila siku niwe na uhakika wa kuingiza pesa kuliko kusubiri wiki ndipo napata kazi tena.

Nimeleta uzi huu kwasababu naamini humu kuna watu wengi wanaoweza kunisaidia, naombeni msaada wenu.

Ahsante.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom