Ndugu wataalam nina iPhone, iliyotumika Marekani, hapa Tz nimeshindwa kuitumia kwa network zetu.
Ninapoweka line ina dai activation na mwisho inaishia na Sim Card not valid.
icloud na Apple ID ninzo ila tu kuiweka kwenye network ndo nimeshindwa.
Naomba kwa yoyote mwenye ujuzi anione inbox...
SCIENCE AND MATHEMATICS
Hili ni swali nililojiuliza mara nyingi sana, nimeitathimini kazi ya uwalimu hasa sule za sekondary hapa nchini na mazingira ya ufundishaji kwa ujumla wake. Hayo tuyaache kwanza.
Hoja yangu ya msingi ni hii.
Hivi karibuni ulitoka waraka wa kuwapandisha mshahara ngazi...
Kufaulu au uwezo wa mwanafunzi unategemeana na uwezo wa kurithi na mazingira anayosomea yaani (anaosoma nao, wanaomfundisha, na anakosomea)
Kwa uzoefu nilioupata wa kufundisha shule ya kata 11years sasa ni wazi kwamba mazingira yamekua kikwazo kikubwa cha wanafunzi kufauli kwa kadiri ya uwezo...
Kama mikataba imeruhusu kufanya waliyoyafanya na kama hawajakiuka masharti waliyokubaliana na hawajavunja sheria.
Hata Lisu hatoweza kushindana na ukweli. Awaachie CCM hiyo ni dude lao
Kama biashara ilikua halali, na mlikua mbakula kodi alafu mkaisitisha ghafla bila hata kutoa muda maalum kwa wenye stock kuuza mzigo uishe, sasa mnatuletea habari za kibashite eti tumekamata mzigo wa milioni 77.
Si mmeenda kwa wale wasambazaji mliowapa vibali vya kuuza na mlijua wana stock bado...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.