Hivi wanaosoma feza boys ni ma-genius au?

Hivi wanaosoma feza boys ni ma-genius au?

Kufaulu au uwezo wa mwanafunzi unategemeana na uwezo wa kurithi na mazingira anayosomea yaani (anaosoma nao, wanaomfundisha, na anakosomea)

Kwa uzoefu nilioupata wa kufundisha shule ya kata 11years sasa ni wazi kwamba mazingira yamekua kikwazo kikubwa cha wanafunzi kufauli kwa kadiri ya uwezo wao.

Kusema ukweli wapo wasio na uwezo kiakili kivile, dhaifu kiasi cha kutoweza kufaulu kabisa lakini ni wachache kuliko wale wanaofeli kwa kiwango cha sifuri kwa sasa.

Nimepata pia fursa ya kufundisha shule kadhaa za private, ukweli ni kwamba nilifurahia uwalimu.

Wakati kule nafundisha nafundisha darasa la wanafunzi 60 huku matokeo ya test/mitihani ya darasani wanagonga D wawili na wengine wanagonga F. Kule private idadi ni hiyo hiyo ila vimtihani vyangu vile wanagonga A za kutosha B, C, D chache na F kadhaa. Maana Hesabu na wanafunzi wetu wa kileo ndiyo hivyo tena.

Pia nimepata fursa ya kusimamia mitihani ya Taifa katika hizi shule (O level). Sikuwahi kuona wanahangaika au kulala lala kwenye chumba cha mitihani kama hawa wa shule zetu za kata ambako pia nimesimamia.

Leo hii ukimwuliza mwanafunzi wa shule ya kata, mitihani waliofanya ilikua je majibu yao utayapenda " ulikua fresh teacher, maswali yote tulishayafanya kwenye test" matokeo yakitoka jamaa anagonga Keepleft.

Hawa wa private waulizeni tu pima majibu yake na matokeo yake huwa yanafanana.

[HASHTAG]#Mazingira[/HASHTAG]
Wanafunzi wa sasa ndugu zangu mnajua mlivyowaharibu. Wengi wenu hapa mmewahi kufanya ngono na mwanafunzi alafu wewe unategemea waendelee kuwa watoto wasikivu.
Mmefanya wamewafundisha na wale wengine wameanza sasa kupepesa macho. Mnatupa sisi walimu kazi ngumu ya kufundisha mtu anaekuangalia kwenye flaizi muda wote na kutabasamu. Walimu sasa ukikutwa kichochironi unatafuta pa kukimbilia maana hujui mtego utategua vipi.

Mwanafunzi anatembea kilometer 6 kuifuata shule, barabara yenyewe ina bodaboda kibao, my friend atakwepa kwa mwaka mmoja tu ila miaka mitatu yote atamegwa na boda boda mia. Nimeliona hili

Vijana wetu wa kiume nao wanekua wavivu kupita kiasi, wanapenda ngono kuliko hata jogoo na wengi wao wameshaona kusoma siyo dili kabisa, wanapeana sumu na inasambaa.

Dogo anakuambia kabisa hawezi soma alafu aje arudi kijijini kutafuta riziki kama hao wasomi walioko mtaani.
Aje awe mwalimu ambae kila mtu anamsema vibaya mtaani na maisha yenyewe bado ni magumu kwake.
 
Hawana stress wazazi wao sio wavivu wamejengewa maisha mazur kila kitu kwao kawaida
 
Ishu ya kuonesha majib Amna m2 anaezatoa ushahd wa uhakika zaid ya majungu, bt knachowabeba wale wa2 ni training2.

Mm nmesomea kwnye shule ambayo ktk ranking za below 45 candidates tulkua hatutoki top5(except miaka hii)

But nliamin "with much efforts, a human being can possibly be trained to perfection"

But iktokea efforts ikpungua na performance lazma ishuke.

Tulpata div 1 darasa zima except wawili, but ukiangalia advance performance ilpungua xana.

Xo hwezkuconckude kwmba feza wanaoneshwa majib japokua inawzekana n kwel, bt amin pia uwezo wa kutrain watu hadi kfkia kiwango kama kile inawzekana no matter n bright au kawaida
Jifunze kuandika vizur "x"badala ya "s" haijakaa vizuri japo una content
 
Nlipata pt9, ila nlifeli kiswahili, ila naamin ulnielewa vzur, xema unakaza fuvu! Au unatafta 7bu
 
Hawapewi mitihani, wanafundishwa vizuri
 
In short, ni recruitment process yao tu kuwa nzuri. Hawa jamaa huwa na utaratibu wa kufuatilia watoto wenye Iq kali popote walipo na kuwadahili.Hivyo wanafundishika kwa kuwa wana background nzuri ya lugha na wengine ni vipaji vyao tu.Utaratibu huo coupled na kuajiri walimu wazuri na wanaolipwa vema ni lazima watoto wafaulu.
 
Nimesoma Feza boys..hakuna kitu kama kuoneshwa mtihani..ni mazingira conducive tu yalioandaliwa..

Enzi zetu ilikua kila baada ya kipindi/somo ilikua tunaenda break for 15 minutes..hii ilitusaidia na wala tulikua hatuchoki..

Darasani tulikua kati ya 25-30 tu hivyo ni rahisi mwalimu ku-monitor wanafunzi wake!

Nakumbuka walimu Wa kibongo walikua wawili tu katika masomo yetu..hivyo muda mwingi unakulazimu kuongea lugha mtakayo elewana!

Hakuna Ugenius wowote..walikuwepo vilaza pia!
 
Mazingira tuu.

Akili hubadilika kulingana na mazingira. Ukizungukwa na ujinga au mambo yanayosapoti ujinga unakuwa Mjinga. Halikadhalika na mambo yenye akili unakiwa Kipanga.

Ndio maana ya Msemo huu; mtoto wa nyoka ni nyoka.
 
Nimesoma Feza boys..hakuna kitu kama kuoneshwa mtihani..ni mazingira conducive tu yalioandaliwa..

Enzi zetu ilikua kila baada ya kipindi/somo ilikua tunaenda break for 15 minutes..hii ilitusaidia na wala tulikua hatuchoki..

Darasani tulikua kati ya 25-30 tu hivyo ni rahisi mwalimu ku-monitor wanafunzi wake!

Nakumbuka walimu Wa kibongo walikua wawili tu katika masomo yetu..hivyo muda mwingi unakulazimu kuongea lugha mtakayo elewana!

Hakuna Ugenius wowote..walikuwepo vilaza pia!

mkuu inawezekana na ww ulikuwa m2 wa kupata straight A, ndo maana unaona kawaida Super Handsome
 
Wanajua, wanafundishwa wanaelewa. Pale elimu sio bure.

Kila mtu anapata kulingana na thamani ya pesa yake
 
Hello guys

Kwa wale mliosomaga feza boys au wenye ndugu zenu waliopo feza boys, nasikiaga feza boys wanaonyeshwaga mitihani (sina uhakika). sasa swali langu linakuja hivi

1) Wanafunzi wa feza wanaonyeshwaga mitihani?
2)Au wanafunzi wanaosoma pale are extremely smart..

Mwenye ujuzi wa haya naomba anijuze
feza zote zioneshwe, marian zote zioneshwe. St Francis wanaoneshwa kila mwaka![emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Ishu ya kuonesha majib Amna m2 anaezatoa ushahd wa uhakika zaid ya majungu, bt knachowabeba wale wa2 ni training2.

Mm nmesomea kwnye shule ambayo ktk ranking za below 45 candidates tulkua hatutoki top5(except miaka hii)

But nliamin "with much efforts, a human being can possibly be trained to perfection"

But iktokea efforts ikpungua na performance lazma ishuke.

Tulpata div 1 darasa zima except wawili, but ukiangalia advance performance ilpungua xana.

Xo hwezkuconckude kwmba feza wanaoneshwa majib japokua inawzekana n kwel, bt amin pia uwezo wa kutrain watu hadi kfkia kiwango kama kile inawzekana no matter n bright au kawaida
andika lugha fasaha
 
Back
Top Bottom