ngugi wa thiongo
Senior Member
- Aug 22, 2013
- 106
- 69
nacheka kwa dharau!!!yani Leo nyie ndio wazalendo??mtu aliyepambana na haya mambo tangu 1994.alaf Leo nyie majuha ndio mnajiita wazalendo???kweli twaweza hawakukosea wanaoishabikia ccm ni kuanzia std 7 kushuka ...........!!!!!Yuko na management ya accacia kwa hiyo unataka aingie awe anawapa siri za tume accacia? Elimu Ya sheria anayo ila uzalendo ni ziro. Huwezi weka mtu asiye na uzalendo kwa nchi yake hata kama anajua Sheria zote za madini duniani